Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
When is defamation a defamation?
What if allegation in place are reflecting a true facts?
Watu ni public Figure alafu mnafanya mambo ya kijinga.
Utaiambia nini familia yako kwa ujinga huo ulioufanya?
 
Eti unasemaje wewe? Labda iwe mkewe kaamua kuichukulia poa kama kawaida yetu wanawake, ila moja ya vifungu vinavyoruhusu kuvunjwa kwa ndoa ni Uzinzi, na alichokifanya msando ni zinaa chafu ya mbele ya camera, kamuulize mchungaji wako akwambie kama Uzinzi hauvunji ndoa!
Kuhusu kujua kua anarekodiwa msando alikua anajua mbona anaifata kabisa na kuiinamia camera ya simu!! Tena anavyoonyesha amekubuhu pembeni kuna mdada anaonekana ndie anae warekodi lakini hajali kabisa ndo Kwanzaa anamimina kilaji. Unamtetea nn sasa,au na wewe ndio wale wale wa kujirekodi? Kama ni hivyo jiandae na yako itavuja
 

Kwa hiyo kosa ni kujirecord, kumradhi kwa hilo. Next time watakuwa wanafanya in privacy. Tutahakikisha no camera around. Katika hili tumepata funzo hili, ila hilo la kutochepuka/flirt. Nna uhakika somo halijaingia katika vichwa vya wanaume wengi.
 
Kwa hiyo kosa ni kujirecord, kumradhi kwa hilo. Next time watakuwa wanafanya in privacy. Tutahakikisha no camera around. Katika hili tumepata funzo hili, ila hilo la kutochepuka/flirt. Nna uhakika somo halijaingia katika vichwa vya wanaume wengi.
Na kwa bahati nzuri wanawake karibu wote kwenye ndoa tunalijua somo la mchepuko haliwaingii wanaume mlio wengi lakini Somo la kujiheshimu na kulinda privacy yako tunawaomba sana mlizingatie. Mnajua kwanini baadhi yetu hata tukiwakamata katika simu zenu hatupayuki kwa makelele!? Ni kwa sababu hatutaki kuwapa watu faida wayajue madhaifu yenu (yetu), sasa mkijirekodi kama hivi Vikitoka hadharani mnakua si tu mmejichafua Bali mmeichafua taswira nzima ya familia
 

For my church, hata ukutwe na ukimwi mmoja wenu ndoa haivunjwi, sembuse kuchepuka. Sheria ya Ndoa ya kikristu kwa makanisa kongwe ni kwamba hakuna wa kuvunja ndoa ikishafungwa.

Hata kama alijua anarekodiwa, still point is hajaivujisha yeye. There is someone else responsible kwa kuvuja kwa hiyo video.
 

Hilo la privacy, sisi wanaume tunaahidi tutalifanyia kazi na tunaahidi kwamba hapo mbeleni tutakuwa makini zaid na vitendo hivi havitojirudia. Asante kama mmetuelewa katika hilo la michepuko.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Una akili chafu sana, kwaiyo wewe kwako kosa ni kwa aliyeivujisha lakini si kwa aliyeshiriki kujirekodi!?
Nampa pole sana huyo mwanamke wako wa kua anaishi na porn star ambae video yake haijavuja
Shukrani kwa wavujishaji na tunawaomba waendelee kuvujisha ili tuwajue wacheza ngono, na tunamuomba aachie part 2 yake
 
Najaribu kuvaa viatu vya mke wake vinanibana. Dunia simama nishuke.
Yaani Mimi Jana nimelala na mfadhaiko mkubwa moyoni,nilifadhaika sana na bado siitamani ile video ipite machoni mwangu. Kwa kweli mke wa msando anamsiba mwanamke mwenzetu
 
Kupima oil ndo kufanya nini au kuweka mafuta Sheri.Naomba mnieleweshe Mimi nipo kolomije ni Mdogo wa Bashite
 

Hahahaa, mama hasira inatokea wapi tena.? Si tulikuwa tunajenda kesi hapa.? Nyinyi wanawake mmesema hamjashtushwa na kuchepuka, bali mmefedheheshwa na kujirekodi na kuvuja kwa video.

Sasa kwa kujirekodi, msando anakutwa na hatia. Ila kuvuja kwa video hana hatia. Na pasipo kuvuja sisi tusingejua kuwa kama hata alijirekodi. Wao wangebaki na video yao na kuendelea na maisha yao ya kila siku, nasi tungeendelea na yetu. Ila kwa kuwa kuna mvujishaji kaivujisha, issue imekuwa viral. Kwa hiyo wewe unamuona aliyevujisha hana hatia.?

Ni simple maths like that.

NB: Bahati mbaya sana mimi na camera huwa hatupatani. So hutokuja ona clip ikinihusu
 
Nawaombea kwa M/Mungu wavujishaji waongezeke ili kukomesha tabia za waume za watu kujitoa ufahamu kichwani na kujivika ujinga
 
Hiyo wazi mbona...kapiga sana kwa mama huruma..sasa sijui bado anaendelea na hivi anasimia kesi yake🙂...it's not a suprise anajulikana.receipt ziko...
Mwenzangu si umeona na ubuyu hapo juu kumbe hadi wanaume wenzie?
Nimeanza kufikiria mbali ule ukaribu alionao na akina Wema, Lulu n.k [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Yaani Mimi Jana nimelala na mfadhaiko mkubwa moyoni,nilifadhaika sana na bado siitamani ile video ipite machoni mwangu. Kwa kweli mke wa msando anamsiba mwanamke mwenzetu
Kiukweli sijui ana hali gani.Maana zile show off za insta za kumsifia na hii video ndo maumivu kabisa.swali anafanya haya na wangapi? [emoji24] [emoji24] naanza kuamini Ile ya Kipindi kile na Lulu ilikuwa kweli...Tunajua wanaume wanacheat ila kinachoumiza ni kujua anacheat na flani tena si kujua tu yani nchi nzima imejua anacheat na nani tena kwa ushahidi[emoji17] [emoji17]
Always men's have their ways.
Msando alishindwa kufanya siri mpaka akaruhusu kurekodiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…