Hapo mwishoni ndiko kumuunderestimate kwenyewe kaka.Siwezi kumu underestimate hata kidogo msomi na mwenye hela zake.....lakini kuhangaika na akina gigymoney hakuendani na status yake.
.....ha ha ha he is trying to justify what his mate did..............if this is what you are calling 'mess around' poleni sana
Whats ur point?Hapo mwishoni ndiko kumuunderestimate kwenyewe kaka.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mwasu sisi ndio wanaume[emoji12]Nimekumbuka wimbo wa jide, ze ndi ndi ndi, ule mstari usemao " chizi huwa haponi" maskini Jack alikuwa na wengine wengi wakiwania ndoa na msando, wengi na walikuwa wanajuana ila walimuachia msando aamue mwenyewe na ktk waliokuwa wana ligi kali ni yule demu wa SAUT alieachiaga picha za uchi na Jack, na aliekuwa na uhakika wa ndoa ni yule demu ila kuvuja kwa picha ikawa ahueni kwa Jack maana msando hakupendezwa, Jack akachukuliwa kwa ndoa ya maana maana ilikuwa harusi kweli akafikiri amepata utulivu kamchukua msando jumla, maskini kumbe aibu ndio ilikuwa inaanzia hapo, huyu bwana alisemwa sana kumla uroda bosi lakini wanawake wengi wanapenda hela hawakujali aibu walijali magari ya kifahari na nyumba nzuri, wanaume hapana jamani, yaani ni kama kamba za viatu wanaingiza matobo yote..
Haya mkuu alichofanya wakili msomi ni sawa tu kwasababu wanaume wote tuko hivyo.
Happy now?Hapo mwishoni ndiko kumuunderestimate kwenyewe kaka.
kwaiyo wataka kuniambia 'raha za benzi sio sawa na raha za baiskeli sio?'Sasa utabaki na mimi kapuku nisie-cheat (au sometimes na-cheat vile vile) ule mchunga na matembele sio?
Duuuh!!Happy now?
Nakwenda na flow dada.....kwaiyo wataka kuniambia 'raha za benzi sio sawa na raha za baiskeli sio?'
well!............once you are a mother and married wife according to christian ways you are always in for it whether
you want or you don't!
ila maumivu yake jaman ni makali usipime
Asiharibu umaarufu wa watuHuyo Giggy Money anazidi kujichanganya bora akae kimya tu
Na kweli mkuu nyinyi ndio baba zetu, lakini tuoneeni huruma basi?! Haa yaani hata mashimo ya maji taka mnadumbukia tu halafu mkirudi manataka mnyonywe?! Nalia kwa uchungu mkuu huruma, huruma tu ndio tuombacho, mkituhurumia mtatuheshimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mwasu sisi ndio wanaume[emoji12]
[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72]Nimekumbuka wimbo wa jide, ze ndi ndi ndi, ule mstari usemao " chizi huwa haponi" maskini Jack alikuwa na wengine wengi wakiwania ndoa na msando, wengi na walikuwa wanajuana ila walimuachia msando aamue mwenyewe na ktk waliokuwa wana ligi kali ni yule demu wa SAUT alieachiaga picha za uchi na Jack, na aliekuwa na uhakika wa ndoa ni yule demu ila kuvuja kwa picha ikawa ahueni kwa Jack maana msando hakupendezwa, Jack akachukuliwa kwa ndoa ya maana maana ilikuwa harusi kweli akafikiri amepata utulivu kamchukua msando jumla, maskini kumbe aibu ndio ilikuwa inaanzia hapo, huyu bwana alisemwa sana kumla uroda bosi lakini wanawake wengi wanapenda hela hawakujali aibu walijali magari ya kifahari na nyumba nzuri, wanaume hapana jamani, yaani ni kama kamba za viatu wanaingiza matobo yote..
The difference is he was taped.. Kim had a sex tape but still aliolewa..if this is what you are calling 'mess around' poleni sana
Vipi tena?Duuuh!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sio sawa lakini walikuwa kwenye unsound mind.. Na sio kweli kwamba amefanya hayo on purpose; but lesson well learntHaya mkuu alichofanya wakili msomi ni sawa tu kwasababu wanaume wote tuko hivyo.
mwasu kulikuwa na demu mmoja apo udsm alikuwaga anatoka na beto, jaman yule mdada ni kama vile Mungu alimtapika kutoka kwenye kinywa cha haya maumivu.Na kweli mkuu nyinyi ndio baba zetu, lakini tuoneeni huruma basi?! Haa yaani hata mashimo ya maji taka mnadumbukia tu halafu mkirudi manataka mnyonywe?! Nalia kwa uchungu mkuu huruma, huruma tu ndio tuombacho, mkituhurumia mtatuheshimu.
...being taped doesnt mean he didnt TAP that pussy......mkuu wewe unakoleza moto tu, kijana kakosea kaomba radhi ila inabidi awe makini na watu anaoruka nao maanake wengine kurusha hizo clip wananufaika.......The difference is he was taped.. Kim had a sex tape but still aliolewa..
Yaani unataka kuniambiwa mkewe aanze kupalaganyisha familia na vile vitoto bado vidogo aanze kuvichanganya kwasababu tu ya hiyo tape? Namwonea huruma mkewe lakini siungi mkono wanaosema eti ningekuwa mimi ningemuacha huyo mwanaume.. Keeping the marriage is the best thing than letting it go, tena ukizingatia watoto bado wadogo..
Sawa mkuu......Sio sawa lakini walikuwa kwenye unsound mind.. Na sio kweli kwamba amefanya hayo on purpose; but lesson well learnt
Ahahah nimeiona mkuu..asante kwa linkAmbao hamjaiona video nendeni kwa shilolekiuno_official (shishi boy)
Mimi nimeionea huko.
Mange kaiweka na kuifuta ndani ya sekunde, sijui Msando kampandia hewani? [emoji23][emoji23][emoji23]