Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
The difference is he was taped.. Kim had a sex tape but still aliolewa..

Yaani unataka kuniambiwa mkewe aanze kupalaganyisha familia na vile vitoto bado vidogo aanze kuvichanganya kwasababu tu ya hiyo tape? Namwonea huruma mkewe lakini siungi mkono wanaosema eti ningekuwa mimi ningemuacha huyo mwanaume.. Keeping the marriage is the best thing than letting it go, tena ukizingatia watoto bado wadogo..
sijasema eti apalanganyishe familia.
nimesema pole manake wanaume wanataka kujustfy makosa yao kwa vitu vya kijinga.

kuna post nimemwambia mkewe chakufanya
ndio mumewe kaharibu but afanyeje zaidi ya kuombea neema ya wokovu familia yake?
wanaodhalilika zaidi ni mtoto ambaye akienda shule atachekwa, akienda kucheza atachekwa kila mahali kwake ni tabu.
muda mwingine siye wazazi tunakuwaga selfish sana, sasa inabidi uwe na neema tu ya Mungu kujua hapa nimefika pabaya ama laa. na ukishajua urudi utubu.
 
mwasu kulikuwa na demu mmoja apo udsm alikuwaga anatoka na beto, jaman yule mdada ni kama vile Mungu alimtapika kutoka kwenye kinywa cha haya maumivu.
hope Tina unaenjoy maisha yako ya ndoa, na haya maumivu yamekupita. Mungu azidi kukutunza na ndoa yako.

Jack mdogo wangu umefika wakati sasa wa kutulia chini uanze kusali sana Mungu aokoe ndoa yako. tayari una mtoto mzuri handsome wa nguvu. usitake huyu shetani amfanye achukie kuzaliwa na nyie. kama mama unaweza kufanya jambo. piga goti sali sana ombea ile neema ya wokovu ije nyumbani kwako.
wengi sana walitapikwa dear, tena kama Nsia yule alieachia machupicha yake ya uchi akiwa SAUT Mwanza alikuwa na jamaa mpaka point ziro yaani kaja kujua jamaa anaoa siku ya ndoa yenyewe, imagine kila siku mtu anakupigia anakuambia love you good night, unajua mchumba, binti aliumia yule mpaka akajiona ana moksi kumbe aliepushwa na janga, kubwa kwa Jack ni maombi ya nguvu, yaani amlilie sana Mungu maana ndie aliempa mume huyu amlilie mabadilishe na si kuvunja ndoa, aombe sana na kwa hili nadhani msando atabadilika sasa, Mungu kaamua kumuumbua.
 
...being taped doesnt mean he didnt TAP that pussy......mkuu wewe unakoleza moto tu, kijana kakosea kaomba radhi ila inabidi awe makini na watu anaoruka nao maanake wengine kurusha hizo clip wananufaika.......
Yote yawezekana cha msingi ameomba msamaha na ajipumzishe na mkewe mbali kidogo na Arusha..
 
Huyo Mzee wa Mwanza Mwanza nae ni habari nyingine. Sema wengi mjini tunawaona tu watu flani descent ila upande wa pili ni wanaume usiowadhania kabisa. Mwanaume ataendelea na atabaki kuwa mwanaume.
ha ha ha umetisha shogaa kwa kujua code!! lile linakula hadi mifupa..hadi mke kakimbia sasa.
 
Halafu mazee acheni masihara gigy mtamu mjue she is wild and horn and I think she is a nymph

Sasa kwa mwanamme kama msando kama mnara unasimama fresh msimlaume mazee .that chick is unresistable and invetable.

Some dirty mind may come suddenly and see there is no harm to hit "it"[emoji3] with no calculated risk.

Msando should apologize.

But daaah nimetoka bafuni saivi kuna assignment nilikuwa nafanya na gigy [emoji12] [emoji14] .
 
sijasema eti apalanganyishe familia.
nimesema pole manake wanaume wanataka kujustfy makosa yao kwa vitu vya kijinga.

kuna post nimemwambia mkewe chakufanya
ndio mumewe kaharibu but afanyeje zaidi ya kuombea neema ya wokovu familia yake?
wanaodhalilika zaidi ni mtoto ambaye akienda shule atachekwa, akienda kucheza atachekwa kila mahali kwake ni tabu.
muda mwingine siye wazazi tunakuwaga selfish sana, sasa inabidi uwe na neema tu ya Mungu kujua hapa nimefika pabaya ama laa. na ukishajua urudi utubu.
Nimekupata mkuu.. Ila hiyo shule anayesoma mtoto usiwe na shaka kabisa maana sidhani kama watoto wa kule wana muda wa kuangaza kwenye page za udaku za huko instagram.. Nadhani unaielewa ile shule na wengi ya watoto wanaosoma hapo wanatokea kwenye familia zipi..
 
wengi sana walitapikwa dear, tena kama Nsia yule alieachia machupicha yake ya uchi akiwa SAUT Mwanza alikuwa na jamaa mpaka point ziro yaani kaja kujua jamaa anaoa siku ya ndoa yenyewe, imagine kila siku mtu anakupigia anakuambia love you good night, unajua mchumba, binti aliumia yule mpaka akajiona ana moksi kumbe aliepushwa na janga, kubwa kwa Jack ni maombi ya nguvu, yaani amlilie sana Mungu maana ndie aliempa mume huyu amlilie mabadilishe na si kuvunja ndoa, aombe sana na kwa hili nadhani msando atabadilika sasa, Mungu kaamua kumuumbua.
wee Nsia aliumia sana sana ila wale wasingeweza kuoana na nsia anajua ni kwann though alikuwa anataka kuipotezea tuu.
Jack anapaswa atubu sana sana kama anaweza afunge kwa toba afu aombe neema ya wokovu manake

'wema wa Mungu unatuvuta ili tupate kutubu`'

Mungu atamskia na kufanya msando kuwa yule aliyekusudiwa jamani. Afu bibi yake alikuwaga ni mwalimu very polite lady jamani matumbo haya??
 
Nimekupata mkuu.. Ila hiyo shule anayesoma mtoto usiwe na shaka kabisa maana sidhani kama watoto wa kule wana muda wa kuangaza kwenye page za udaku za huko instagram.. Nadhani unaielewa ile shule na wengi ya watoto wanaosoma hapo wanatokea kwenye familia zipi..
aisee tena asikwambie mtu.
mie nasomesha mojawapo ya izo shule watt wanavyovipitia ni zaidi ya uvijuavyo wewe.
ni neema tu Mungu imsaidie.
je mkewe akienda sokoni salumi kazini uwiiiiii

uzuri wote ule bado mume anafanya haya jamani watu wanakufuru acheni matani
 
wee Nsia aliumia sana sana ila wale wasingeweza kuoana na nsia anajua ni kwann though alikuwa anataka kuipotezea tuu.
Jack anapaswa atubu sana sana kama anaweza afunge kwa toba afu aombe neema ya wokovu manake

'wema wa Mungu unatuvuta ili tupate kutubu`'

Mungu atamskia na kufanya msando kuwa yule aliyekusudiwa jamani. Afu bibi yake alikuwaga ni mwalimu very polite lady jamani matumbo haya??
Kweli toba itambadilisha maana hakuna jambo utakaoliomba kwa Mungu akakunyima na yeye hana ubaguzi, msando sasa ni wakati wa kubadilika na kama alijua hawezi ndoa asingeoa, au angefanya kwanza ndio aoe, nakumbuka yul jamaa alikuwa kwenye kampuni ya Tigo baadae Voda siku hizi sijui ni mjasiriamali nae alisumbua sana mabinti akazaa na wanawake wengi tu, tena kuna binti alizaa watoto wawili akijua ndio ndoa itafungwa, jamaa kaja kuoa binti mwingine tena ambae hakuwahi kutoka nae kabla ya kujitambulisha kwao sasa katulia na ibada anahudhuria na uzee wa kanisa kapewa yule jamaa mwenye mustach.yule , bora sasa anaheshimu ndoa lakini huyu wakili huyu hapana aisee.
 
Unasema tu, kwani mbona hata mkijua mwanaume anacheat bado mnang'ang'ana? Wanawake ujanja wenu ni kuombwa msamaha tu huku jianaume umejipigisha magoti na machozi ya uongo uongo..

Hata mkewe akiangalia a bright future aliyonayo na Alberto hawezi hata kufikiria hayo.. Unafanya mchezo mke unatembea na benz kesho yuko na Range, unaishi kwenye bungalow, watoto wanasoma Brueburn.. Wanaume makapuku ndio huanjwa kirahisi rahisi tu.. Unaweza kuta Alberto kujituliza na mawazo yupo na mkewe Masai Mara hapo wakitoka hapo wanaingia Ibiza wakirudi mkewe hata huyo Gigy hamkumbuki..
Umeongea ukweli mchungu, japo tutakupinga. Bora hata huyu na msamaha kaomba mwingine hata msamaha haombi na mke haondoki ng'oooo. Wengi wetu as long ninakula, ninavaa, nina pa kulala, watoto wanasoma vizuri basi mume fanya tu utakalo, me sikuachi labda unifukuze mwenyewe[emoji35] . Tena mume mwenyewe ndo anakupa life kama msando, wengi wasingeondoka + kuolewa kulivyo heshima hivi, mbona hatoki mtu, bado tuna msemo wetu "wanaume wenyewe wote wapo hivyo hivyo, utaacha wangapi? [emoji78] [emoji78] . Na tulivyojikatia tamaa sasa "me afanye tu ila nisijue", sasa kama yanayofanyika huko gizani ndo kama haya, aisee hata usipotaka kuyajua, utayajua tu kupitia afya yako. Mungu atusaidie
 
Yote yawezekana cha msingi ameomba msamaha na ajipumzishe na mkewe mbali kidogo na Arusha..
huu sio muda wa huyu dada kuongopewa na outing akajua hali imebadilika.
.........tell you this, roho ya ukahaba ikiwemo ndani kwenu huizimi kwa outing as outing ni sehem ya kuitii ile roho ya ukahaba. suluhisho pekee Jack anatakiwa sasa aanze kusali tena si kwa masihara, ahakikishe anatubu adi Mungu anaikubali toba yake, kisha amuombe aachilie neema ya wokovu kwenye ndoa yake.
jamani mume kutoka nje kunauma msisikie hakuna kitu kitakachopoza hayo hata ufanyeje
 
ha ha ha umetisha shogaa kwa kujua code!! lile linakula hadi mifupa..hadi mke kakimbia sasa.
Hahahahaaaa... Ukiwajua hawa watu code inakua rahisi kuijua. Mke nasikia alimkimbia siku nyingi. Nani angeweza zile scandal yarab. Yule ukimchekea anakutafuna unajiona. Na anavyovutia plus zile hela ndo tunamaliziwa hapo.
 
Kweli toba itambadilisha maana hakuna jambo utakaoliomba kwa Mungu akakunyima na yeye hana ubaguzi, msando sasa ni wakati wa kubadilika na kama alijua hawezi ndoa asingeoa, au angefanya kwanza ndio aoe, nakumbuka yul jamaa alikuwa kwenye kampuni ya Tigo baadae Voda siku hizi sijui ni mjasiriamali nae alisumbua sana mabinti akazaa na wanawake wengi tu, tena kuna binti alizaa watoto wawili akijua ndio ndoa itafungwa, jamaa kaja kuoa binti mwingine tena ambae hakuwahi kutoka nae kabla ya kujitambulisha kwao sasa katulia na ibada anahudhuria na uzee wa kanisa kapewa yule jamaa mwenye mustach.yule , bora sasa anaheshimu ndoa lakini huyu wakili huyu hapana aisee.
muda mwingine bhana shetani huwa anajua sana kutufanya tutoke kwenye kusudi la Mungu.
Mungu hakumuumba Betho awe mwanaume malaya aisiye hsshimu ndoa yake, wala Gigy money hakuumbwa ili awe kahaba wa kila mtu kumdhalilisha na mapicha ya ngono.

ila sasa shetani ameshateka nyavu zake na amewafunga watu macho kiasi kwamba hawaoni mbele walikokusudiwa. Kwan yeye Mungu alimfanya Jack aolewe na Betho kisa hela na mali? mbona sasa amewapa baraka ya mtoto? ukichunguza kwa makini utajua kwamba kipo zaidi ya hapo na Mungu anataka hawa walione hilo.
huyo shetani aliyekamata fahamu zao na aziachie sasa aruhusu wamtumikie Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom