Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijasema eti apalanganyishe familia.The difference is he was taped.. Kim had a sex tape but still aliolewa..
Yaani unataka kuniambiwa mkewe aanze kupalaganyisha familia na vile vitoto bado vidogo aanze kuvichanganya kwasababu tu ya hiyo tape? Namwonea huruma mkewe lakini siungi mkono wanaosema eti ningekuwa mimi ningemuacha huyo mwanaume.. Keeping the marriage is the best thing than letting it go, tena ukizingatia watoto bado wadogo..
wengi sana walitapikwa dear, tena kama Nsia yule alieachia machupicha yake ya uchi akiwa SAUT Mwanza alikuwa na jamaa mpaka point ziro yaani kaja kujua jamaa anaoa siku ya ndoa yenyewe, imagine kila siku mtu anakupigia anakuambia love you good night, unajua mchumba, binti aliumia yule mpaka akajiona ana moksi kumbe aliepushwa na janga, kubwa kwa Jack ni maombi ya nguvu, yaani amlilie sana Mungu maana ndie aliempa mume huyu amlilie mabadilishe na si kuvunja ndoa, aombe sana na kwa hili nadhani msando atabadilika sasa, Mungu kaamua kumuumbua.mwasu kulikuwa na demu mmoja apo udsm alikuwaga anatoka na beto, jaman yule mdada ni kama vile Mungu alimtapika kutoka kwenye kinywa cha haya maumivu.
hope Tina unaenjoy maisha yako ya ndoa, na haya maumivu yamekupita. Mungu azidi kukutunza na ndoa yako.
Jack mdogo wangu umefika wakati sasa wa kutulia chini uanze kusali sana Mungu aokoe ndoa yako. tayari una mtoto mzuri handsome wa nguvu. usitake huyu shetani amfanye achukie kuzaliwa na nyie. kama mama unaweza kufanya jambo. piga goti sali sana ombea ile neema ya wokovu ije nyumbani kwako.
Yote yawezekana cha msingi ameomba msamaha na ajipumzishe na mkewe mbali kidogo na Arusha.....being taped doesnt mean he didnt TAP that pussy......mkuu wewe unakoleza moto tu, kijana kakosea kaomba radhi ila inabidi awe makini na watu anaoruka nao maanake wengine kurusha hizo clip wananufaika.......
ha ha ha umetisha shogaa kwa kujua code!! lile linakula hadi mifupa..hadi mke kakimbia sasa.Huyo Mzee wa Mwanza Mwanza nae ni habari nyingine. Sema wengi mjini tunawaona tu watu flani descent ila upande wa pili ni wanaume usiowadhania kabisa. Mwanaume ataendelea na atabaki kuwa mwanaume.
Nimekupata mkuu.. Ila hiyo shule anayesoma mtoto usiwe na shaka kabisa maana sidhani kama watoto wa kule wana muda wa kuangaza kwenye page za udaku za huko instagram.. Nadhani unaielewa ile shule na wengi ya watoto wanaosoma hapo wanatokea kwenye familia zipi..sijasema eti apalanganyishe familia.
nimesema pole manake wanaume wanataka kujustfy makosa yao kwa vitu vya kijinga.
kuna post nimemwambia mkewe chakufanya
ndio mumewe kaharibu but afanyeje zaidi ya kuombea neema ya wokovu familia yake?
wanaodhalilika zaidi ni mtoto ambaye akienda shule atachekwa, akienda kucheza atachekwa kila mahali kwake ni tabu.
muda mwingine siye wazazi tunakuwaga selfish sana, sasa inabidi uwe na neema tu ya Mungu kujua hapa nimefika pabaya ama laa. na ukishajua urudi utubu.
wee Nsia aliumia sana sana ila wale wasingeweza kuoana na nsia anajua ni kwann though alikuwa anataka kuipotezea tuu.wengi sana walitapikwa dear, tena kama Nsia yule alieachia machupicha yake ya uchi akiwa SAUT Mwanza alikuwa na jamaa mpaka point ziro yaani kaja kujua jamaa anaoa siku ya ndoa yenyewe, imagine kila siku mtu anakupigia anakuambia love you good night, unajua mchumba, binti aliumia yule mpaka akajiona ana moksi kumbe aliepushwa na janga, kubwa kwa Jack ni maombi ya nguvu, yaani amlilie sana Mungu maana ndie aliempa mume huyu amlilie mabadilishe na si kuvunja ndoa, aombe sana na kwa hili nadhani msando atabadilika sasa, Mungu kaamua kumuumbua.
aisee tena asikwambie mtu.Nimekupata mkuu.. Ila hiyo shule anayesoma mtoto usiwe na shaka kabisa maana sidhani kama watoto wa kule wana muda wa kuangaza kwenye page za udaku za huko instagram.. Nadhani unaielewa ile shule na wengi ya watoto wanaosoma hapo wanatokea kwenye familia zipi..
Kweli toba itambadilisha maana hakuna jambo utakaoliomba kwa Mungu akakunyima na yeye hana ubaguzi, msando sasa ni wakati wa kubadilika na kama alijua hawezi ndoa asingeoa, au angefanya kwanza ndio aoe, nakumbuka yul jamaa alikuwa kwenye kampuni ya Tigo baadae Voda siku hizi sijui ni mjasiriamali nae alisumbua sana mabinti akazaa na wanawake wengi tu, tena kuna binti alizaa watoto wawili akijua ndio ndoa itafungwa, jamaa kaja kuoa binti mwingine tena ambae hakuwahi kutoka nae kabla ya kujitambulisha kwao sasa katulia na ibada anahudhuria na uzee wa kanisa kapewa yule jamaa mwenye mustach.yule , bora sasa anaheshimu ndoa lakini huyu wakili huyu hapana aisee.wee Nsia aliumia sana sana ila wale wasingeweza kuoana na nsia anajua ni kwann though alikuwa anataka kuipotezea tuu.
Jack anapaswa atubu sana sana kama anaweza afunge kwa toba afu aombe neema ya wokovu manake
'wema wa Mungu unatuvuta ili tupate kutubu`'
Mungu atamskia na kufanya msando kuwa yule aliyekusudiwa jamani. Afu bibi yake alikuwaga ni mwalimu very polite lady jamani matumbo haya??
Umeongea ukweli mchungu, japo tutakupinga. Bora hata huyu na msamaha kaomba mwingine hata msamaha haombi na mke haondoki ng'oooo. Wengi wetu as long ninakula, ninavaa, nina pa kulala, watoto wanasoma vizuri basi mume fanya tu utakalo, me sikuachi labda unifukuze mwenyewe[emoji35] . Tena mume mwenyewe ndo anakupa life kama msando, wengi wasingeondoka + kuolewa kulivyo heshima hivi, mbona hatoki mtu, bado tuna msemo wetu "wanaume wenyewe wote wapo hivyo hivyo, utaacha wangapi? [emoji78] [emoji78] . Na tulivyojikatia tamaa sasa "me afanye tu ila nisijue", sasa kama yanayofanyika huko gizani ndo kama haya, aisee hata usipotaka kuyajua, utayajua tu kupitia afya yako. Mungu atusaidieUnasema tu, kwani mbona hata mkijua mwanaume anacheat bado mnang'ang'ana? Wanawake ujanja wenu ni kuombwa msamaha tu huku jianaume umejipigisha magoti na machozi ya uongo uongo..
Hata mkewe akiangalia a bright future aliyonayo na Alberto hawezi hata kufikiria hayo.. Unafanya mchezo mke unatembea na benz kesho yuko na Range, unaishi kwenye bungalow, watoto wanasoma Brueburn.. Wanaume makapuku ndio huanjwa kirahisi rahisi tu.. Unaweza kuta Alberto kujituliza na mawazo yupo na mkewe Masai Mara hapo wakitoka hapo wanaingia Ibiza wakirudi mkewe hata huyo Gigy hamkumbuki..
huu sio muda wa huyu dada kuongopewa na outing akajua hali imebadilika.Yote yawezekana cha msingi ameomba msamaha na ajipumzishe na mkewe mbali kidogo na Arusha..
Teh teh tehHapo gigy kishapata kik ambayo ndio intention yake.
Msando kapata fedheha.
Mke wa msando kapata aibu.
Shilawadu tumepata ubuyu.....
Hahahahaaaa... Ukiwajua hawa watu code inakua rahisi kuijua. Mke nasikia alimkimbia siku nyingi. Nani angeweza zile scandal yarab. Yule ukimchekea anakutafuna unajiona. Na anavyovutia plus zile hela ndo tunamaliziwa hapo.ha ha ha umetisha shogaa kwa kujua code!! lile linakula hadi mifupa..hadi mke kakimbia sasa.
Yeye ndio mshauri waoACT Wanamshauri huyu.
You are really a wise comedian . . [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kesi ndogo,lawyers can get away with murder case ijekua hii,Msando akishindwa kuchomoka basi atakuwa sio best lawyer a.k.a learned brother!
FULL VIDEO HII HAPA..KWELI GIGY NOUMA KAMDATISHA HADI MWANASHERIA
muda mwingine bhana shetani huwa anajua sana kutufanya tutoke kwenye kusudi la Mungu.Kweli toba itambadilisha maana hakuna jambo utakaoliomba kwa Mungu akakunyima na yeye hana ubaguzi, msando sasa ni wakati wa kubadilika na kama alijua hawezi ndoa asingeoa, au angefanya kwanza ndio aoe, nakumbuka yul jamaa alikuwa kwenye kampuni ya Tigo baadae Voda siku hizi sijui ni mjasiriamali nae alisumbua sana mabinti akazaa na wanawake wengi tu, tena kuna binti alizaa watoto wawili akijua ndio ndoa itafungwa, jamaa kaja kuoa binti mwingine tena ambae hakuwahi kutoka nae kabla ya kujitambulisha kwao sasa katulia na ibada anahudhuria na uzee wa kanisa kapewa yule jamaa mwenye mustach.yule , bora sasa anaheshimu ndoa lakini huyu wakili huyu hapana aisee.