Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Wanawake mnaochangia hapa mmekosa kufahamu kwamba

Trump alichomeka vidole hadharani lakini hii haimfanyi asiwe baba,raisi bora
Pokello nare ana sex tape lakini kaolewa na katulia.
Desire luzinda ana sex tape lakini katulia.
Zari wifi wenu wa taifa ana sex tape lakini katulia kwa chibude
Mapenzi tumeumbiwa binadamu hatuwezi kukwepa wewe kama ina mume wako hatembei nje basi mchunguze vizuri.

Giggy money yeye ni stuner,working girl anaetaka kiki muda wote na hiyo ni marketing merchandising kubwa kwake ukitazama hiyo video ilipokuwa inachukuliwa giggy alikuwa bado hajalewa anaomba redbull amix na hennessy. All in all we can run away from nature(Sex)
 
ha ha ha watatuua jaman hivi vibabu visivyotaka kuzeeekaa#vyumavimekaza#
kweli vyuma vimekaza ila wanapambana visiendelee kukaza. Sema hana uzee wa hivyoooo basi tu katumika sana hapa mjini.
 
Unampaje lift, mtu kavaa kichupi .[emoji16][emoji16] aibu tu. Loh. Wanaume wanakazi
 
ila aisee sisi wazazi tunakuwaga selfish sana.
hivi huwaga tunajiuliza kama tuyafanyayo yanawaathiri watoto wetu ama laa??
mke utalazimika kuvumilia manake tayari una watoto, mume hivi utaomba msamaha kwa mke mtoto je utamwambiaje?
huo muda wa kufanya haya na huyo mtu si ungekuwa na mwanao masai mara mnakula raha?
hapo ukute mama naye alikuwa kwa mchepuko. mtoto nickelodean ama boomering ikamuhusu siku nzima huku akipata matusi ya reja reja kwa dada wa kazi. mweehh
Aiseee hapo kwa mtoto ndio balaa, sijui unaanzaje kumwomba akusamehe baba yake kwa kukengeuka.. Lakini kiafrika mtoto wala hawezi kuhoji atabaki tu anajifia na maumivu yake. Upendo unasomwa nyumbani, watoto wengi wanaokulia kwenye familia zenye misukosuko ya kindoa huwa nao mbeleni hawaamini kama watu wanaweza kutulia kwenye ndoa na maisha yao yote wanakuwa ni watu wa kutanga tanga tu kwenye masuala ya mapenzi..
 
Nimekuelewa vizuri sana, na najua Jack akisimama na Mungu, kila kitu kitafanyika kuwa kipya kwenye ndoa yao. Ila swali langu ni moja tu, yeye msando muda huu awe anafanya nini while mke yupo busy na kuomba? Siongelei haki sawa maana naelewa ndoa nyingi zinashikiliwa na wake, mke akisema basi na ndoa basi + huwezi kushindana na mpumbavu. Nachomaanisha ni hiki, yeye msando hana cha kufanya kuirudisha ndoa yake kwenye mstari? Hasikii aibu wala kuumia anavyoidhalilisha familia yake?

Ndoa zimekuwa kama project prayers kwa wanawake while men are busy doing their shits huko nje. Ain't a man supposed to be his family's prayer warrior? Mbona tunawatreat wanaume as if hawana vitu vyema vya kufanya kwa ajili ya kulinda ndoa zao? This is exactly our sons watakavyokuja kubehave na wake zao, na ni kwa sababu tumewalea hivyo, wao kazi yao ni kuprovide tu. Mwanaume fanya utakavyo, mkeo will clean the mess. Ukute mwanaume anayeiombea familia yake, mmmmh wachache mno. Unfortunately kwenye kuchagua mume tunaangalia mavigezo yetu tu ya kimwili, vya kiroho tunaviignore afu baadaye ndo wa kwanza kulia. I think it's high time tukabadilisha hii misingi mibovu ya ndoa kupitia malezi kwa watoto wetu since wakiwa wadogo. Otherwise mmh
very wise question my dear!
let me tell you, men they don't have an extra eye to see where women can see.
ukitaka Msando aanze kuwa prayer worrier kwa familia utakuwa unasahau jambo moja ambalo Mungu alilisema kupitia kinywa cha nabii Yeremia.

nanukuu '' nimeweka jambo jipya katika dunia kwamba mwanamke atamlinda mwanamume''

hapa inamaanisha kwamba mama anatakiwa aanze kuonyesha jitihada tena awe mpole na anyenyekee sana. manake Mungu hutizama kile unachotakiwa kukifanya na si kile ulichotaka kufanyiwa. akaiwa anafanya haya mumewe ataona Mungu kupitia mkewe na ataambatana nae.

makuzi ya watoto yako ivi, ukiwalea watoto toka udogoni kwamba kusali ni jkumu letu, na hofu ya Mungu ikajaa mioyoni mwao watoto hawa wakakua katika misingi iyo iyo na ukawanyima kabisa nafasi ya kuharinu imani yao, hata wakiwa ni wa kiume watasimama kuombea familia zao. ikiwa mtoto hajakuzwa ivyo usitegemee atajianzia tuu. kuna gharama za kulipa tena nyingi sana.

hujalijua hili, kilamwanamke ambaye Betho aliwahi kumuumiza moyo kwa namna yyte, ni mdai wa Betho katika ulimwengu wa roho. namaanisha hivi Betho anadaiwa madeni katika ulimwengu wa roho na wanawake wote aliowah kuwaumiza. jambo hili litamfuatilia Betho na hata watoto wake. Jack hakuliona hili (simlaumu) ila kama akiamua kurudi kwenye toba basi pia akumbuke kuomba Damu ya YESU IKAMLIPIE MADENI ANAYODAIWA BETHO NA WANAWAKE WOTE: akifanya hivo ataona jinsi ambavyo izo tabia zinamuachia na atafurahia ndoa yake zaidi ya hapo.
 
2b87e5f7c7eb885353ce7a7d7519c2bb.jpg
msamaha. Com.
Hana hata wasiwasi
 
Aiseee hapo kwa mtoto ndio balaa, sijui unaanzaje kumwomba akusamehe baba yake kwa kukengeuka.. Lakini kiafrika mtoto wala hawezi kuhoji atabaki tu anajifia na maumivu yake. Upendo unasomwa nyumbani, watoto wengi wanaokulia kwenye familia zenye misukosuko ya kindoa huwa nao mbeleni hawaamini kama watu wanaweza kutulia kwenye ndoa na maisha yao yote wanakuwa ni watu wa kutanga tanga tu kwenye masuala ya mapenzi..
dah!!
very touching............but at least he has to do something, na ikiwa anataka kujua kama mwanae kaapata bullies zozote kupitia iyo video atajua.

unajua nani atakae mlikishia mwanae?? wale maadui wake katika kazi na siasa. wanaweza wakamfanyia huo mchezo. ila akitaka kujua akimuuliza mwanae kwa upole atamwambia na akishapata jibu kwamba anajua basi ajifunge bomu amwombe msamaha kwa namna ya kiutu uzima. kisha arudishe upendo kwa mtoto per see
 
Mwenye biography ya huyu giggy money. Where is she coming from, apart from instagram what else is her occupation. Her education vitu kaa hivyo . what kind of air is she breath in?
 
Wasalimie huko. Wanawake wengi ni "afanye tu ila me nisijue, aniheshimu tu", teh tunaogopa vivuli vyao. Na sijui ni heshima gani tunayoitaka
hehehehehe niliona post yako ukitulaumu na dili za bar... Ila kiukweli mwanaume asikudanganye kila siku yupo bar alafu anakwambia eti ndio napata dili huko.. Lakini ndio hivyo wenyewe mnajisemea kama ulivyosema "afanye tu ila mi nisijue, aneheshimu tu".. Naamini hata Msando anamuheshimu mke wake, ila hii ni ajali tu
 
makuzi ya watoto yako ivi, ukiwalea watoto toka udogoni kwamba kusali ni jkumu letu, na hofu ya Mungu ikajaa mioyoni mwao watoto hawa wakakua katika misingi iyo iyo na ukawanyima kabisa nafasi ya kuharinu imani yao, hata wakiwa ni wa kiume watasimama kuombea familia zao. ikiwa mtoto hajakuzwa ivyo usitegemee atajianzia tuu. kuna gharama za kulipa tena nyingi sana..

Couldn't agree more.
Laiti tungekuwa tumewalea watoto wetu kwenye misingi ya hofu ya Mungu, leo hii tungekuwa tunashuhudia ndoa za design nyingine kabisa, amazing mnoo. Ndo ujiulize ni wababa wangapi huwa wanasali na watoto wao, kama sio muda huo huwa wapo busy bar wanapeana michongo.

Kwa sababu tumekengeuka, basi kila mtu anabeba garbages zake zote za past na tunazileta ndoani, at least basi tungedeal nazo kabla ya kusettle down. Tumejijengea madhabahu kibao ndo kila siku zinatufuatilia. Mpo kwenye ndoa lakini hampigi hatua kwa sababu kila siku mnadeal na garbages zenu za past. Hapo ni kwa unayejua past za betho, but Naamini jack naye ana garbages zake wameziunganisha. Mungu atupe neema ya kudea na hili. It's too much
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.

[emoji23][emoji100][emoji23][emoji100]
 
hehehehehe niliona post yako ukitulaumu na dili za bar... Ila kiukweli mwanaume asikudanganye kila siku yupo bar alafu anakwambia eti ndio napata dili huko.. Lakini ndio hivyo wenyewe mnajisemea kama ulivyosema "afanye tu ila mi nisijue, aneheshimu tu".. Naamini hata Msando anamuheshimu mke wake, ila hii ni ajali tu
Ajali kazini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom