Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Waone kawaida tu hhhhaaaa ila aibuu
 
Mungu pekee ndio atamjudge. Kakosa kadogo sana hako...tatizo ni vile imeleak!
.
.
Wangapi hapa mnaheshimika majumbani kwenu na makazini kwenu lakini ndani ya mioyo yenu mmejaa midhambi kuliko ya huyo alberto?
.
.
Kosa moja lisifunike mazuri yake mengine. Kumpapasa giggy kuna madhara gani kwa taifa? Atajibu kwa mkewe.
Giggy ni malaya kama malaya wengine. Na alberto ni mteja kama wateja wengine (wengi tu wapo humu), hata waheshimiwa ndio zao hizo. So stop judging..tuumize kichwa kufufua Tanzania ya viwanda!
Tangu muapishwe Nov. 2015 mpaka sasa Sijaona Tz ya viwanda zaidi zaidi Tz ya matukio kila uchwao na mmetujenga raia kupenda umbea
 
Ujue hamjui tu wababa mna nafasi gani katika malezi ya watoto wenu. Nyie mnajuaga tu kuprovide basi. Huo muda wa bar mngekuwa mnatulia home mnawasaidia watoto wenu homework, mnakula wote, mnaomba nao, then wanaenda kulala mapema, daah sijui tungekuwa na generation ya aina gani hapo baadaye. Ila ukisema tu utaambiwa "uache kuangalia movie za kifilipino" au "baba ako alikuwa anakufanyia hivyo". Mtu kila siku bar, narefresh mind sijui utadhani wake zenu wao mind zao zimekufa, bado watu hao hao unaoshinda nao bar ndo mna group wasap, Abeg ni madili gani hayo mnayopeana kila siku? Upite bar ukute meza ya wanaume bila kamchepuko hata kamoja mmmmh

Wee wanawake tumejikatia tamaa na hizi ndoa, basi tu ndo tangu tumboni tuliambiwa kuolewa ni heshima, tutafanyaje sasa. Ukikuta mke wa ndoa anaongea kwa maumivu huyo unajisemea tu "Yehova". Hizo heshima za design zenu me zinishindwe kabisa IJN
Bar kila siku hiyo ni extremely too much, alafu basi angalau uwe unapita ila saa mbili uko nyumbani. Wengine wao ni mpaka saa 5 ndio anashawishika kurudi na ukute ashakula mbuzi wake huko anakuja kukuta sijui wali maharage ndio wala hagusi hiyo na chai asubuhi hanywi anakimbilia supu bar ndio aingie kazini.. Aisee haya maisha hapana, hata kama nyumbani ni kituo cha polisi si hivi.. Alafu wanaofanya hayo ina maana hata watoto wao hawawapendi na kuwapa muda? Litoto likifeli shule anaambiwa mama wewe unamdekeza dekeza.. Mtu unaogopa kuwa a family man sababu eti washkaji watakucheka na kuona umekamatika..

Daaah ila hapo kwenye red umenifanya nicheke sana.. Eti acha kuangalia movie za kifilipino 😀😀😀😀😀
 
I agreed with you kuhusu Jack, that's the only option so far. Ila nilitaka tufike hapa pa kuona kumbe tunatakiwa tufanye kitu juu ya malezi ya watoto wetu. Watoto wanavyoviona kwetu sisi wazazi wao ndo mara nyingi wanaamini ni sahihi. Kwa hiyo ni lazima turekebishe misingi yetu, japo sio guarantee kuwa watoto watakuwa exactly kama tulivyowalea, maana haya maisha mi kwa neema ya Mungu tu. But still Naamini "mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee". Sisi ndo tuwe mfano bora kwa wanetu
point maaa
ishu ni kuwaongoza watoto katika malezi mema.
 
Tangu muapishwe Nov. 2015 mpaka sasa Sijaona Tz ya viwanda zaidi zaidi Tz ya matukio kila uchwao,zaidi zaidi mmetujenga raia kupenda umbea
Ndio nchi yetu ilivyo. Izoee tu.
 
Nimekupata mkuu.. Ila hiyo shule anayesoma mtoto usiwe na shaka kabisa maana sidhani kama watoto wa kule wana muda wa kuangaza kwenye page za udaku za huko instagram.. Nadhani unaielewa ile shule na wengi ya watoto wanaosoma hapo wanatokea kwenye familia zipi..
Wee hata usiseme, watoto wanaotoka familia zilizo njema kiuchumi nani kakwambia ndio wana maadili!! Hao ambao wazazi wako busy wanalelewa na mitandao!!! Tena mate chini.
 
yaani umewaza exactly kama nilivyokuwa nawaza. ila namuomba sana Jack japo linauma asijikute anapata waalimu wa mtaani wa kumtoa kwenye pendo la familia yake.

najua wapo tena ambao wanataka kuona anamalizika kisiasa, kisheria na kila kitu.............
Marriage is the strongest weapon your enemies can use to destroy you.. Hilo anatakiwa alitambue, Mkewe anatakiwa asimame nae imara sasa, mambo yakitulia ndio ampe adhabu stahiki..
 
d945206858c768026ea234c63568059e.jpg

15f21aad69c5bc5f9f89a436ac1222c8.jpg

bcd0414fdcbaf146dfacfbea6ef84eb5.jpg
Alikuwa moshi kwenye show?? Giddy money hufanya show gani??
 
Marriage is the strongest weapon your enemies can use to destroy you.. Hilo anatakiwa alitambue, Mkewe anatakiwa asimame nae imara sasa, mambo yakitulia ndio ampe adhabu stahiki..
Adhabu stahiki ni kibuti with immediate effect!
 
Nimekumbuka wimbo wa jide, ze ndi ndi ndi, ule mstari usemao " chizi huwa haponi" maskini Jack alikuwa na wengine wengi wakiwania ndoa na msando, wengi na walikuwa wanajuana ila walimuachia msando aamue mwenyewe na ktk waliokuwa wana ligi kali ni yule demu wa SAUT alieachiaga picha za uchi na Jack, na aliekuwa na uhakika wa ndoa ni yule demu ila kuvuja kwa picha ikawa ahueni kwa Jack maana msando hakupendezwa, Jack akachukuliwa kwa ndoa ya maana maana ilikuwa harusi kweli akafikiri amepata utulivu kamchukua msando jumla, maskini kumbe aibu ndio ilikuwa inaanzia hapo, huyu bwana alisemwa sana kumla uroda bosi lakini wanawake wengi wanapenda hela hawakujali aibu walijali magari ya kifahari na nyumba nzuri, wanaume hapana jamani, yaani ni kama kamba za viatu wanaingiza matobo yote..
Duh hizi information za jikoni kabisa hizi. Unamaanisha jack alipiga picha za uchi na nsia swai au? Hebu tukumbushie hizo picha tudadavulie
 
Wee hata usiseme, watoto wanaotoka familia zilizo njema kiuchumi nani kakwambia ndio wana maadili!! Hao ambao wazazi wako busy wanalelewa na mitandao!!! Tena mate chini.
Mkuu sikumaanisha maadili, I meant kwa umri wao na aina ya maisha wanayoishi ni vigumu kumkuta akifatilia udaku.. Ila nimemuelewa gfsonwin mtoto anaweza akawa yuko huko instagram kwa mambo mengine ila accidentally akakutana na hizo videos na hapo ndio picha linapoharibika..
 
Umeongea ukweli mchungu, japo tutakupinga. Bora hata huyu na msamaha kaomba mwingine hata msamaha haombi na mke haondoki ng'oooo. Wengi wetu as long ninakula, ninavaa, nina pa kulala, watoto wanasoma vizuri basi mume fanya tu utakalo, me sikuachi labda unifukuze mwenyewe[emoji35] . Tena mume mwenyewe ndo anakupa life kama msando, wengi wasingeondoka + kuolewa kulivyo heshima hivi, mbona hatoki mtu, bado tuna msemo wetu "wanaume wenyewe wote wapo hivyo hivyo, utaacha wangapi? [emoji78] [emoji78] . Na tulivyojikatia tamaa sasa "me afanye tu ila nisijue", sasa kama yanayofanyika huko gizani ndo kama haya, aisee hata usipotaka kuyajua, utayajua tu kupitia afya yako. Mungu atusaidie
Na hata akifukuzwa hatokiiii chezea pesa wewe!! Pesa ni shenzi na nusu. Kapuku unamuacha tu dakika. Teh teh teeeh![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Bar kila siku hiyo ni extremely too much, alafu basi angalau uwe unapita ila saa mbili uko nyumbani. Wengine wao ni mpaka saa 5 ndio anashawishika kurudi na ukute ashakula mbuzi wake huko anakuja kukuta sijui wali maharage ndio wala hagusi hiyo na chai asubuhi hanywi anakimbilia supu bar ndio aingie kazini.. Aisee haya maisha hapana, hata kama nyumbani ni kituo cha polisi si hivi.. Alafu wanaofanya hayo ina maana hata watoto wao hawawapendi na kuwapa muda? Litoto likifeli shule anaambiwa mama wewe unamdekeza dekeza.. Mtu unaogopa kuwa a family man sababu eti washkaji watakucheka na kuona umekamatika..

Daaah ila hapo kwenye red umenifanya nicheke sana.. Eti acha kuangalia movie za kifilipino 😀😀😀😀😀
To be honest wababa wengi ni ile mnajua mtoto amekula, ameenda shule, anavaa vizuri, anatibiwa, the rest ni kazi ya mama yake. Baba muda wote anawaza madeal, mtu hawazi hata kuna family time, mkae mzungumze mcheze, muwafundishe watoto wenu etc. Baba kila siku anarudi watoto wameshalala mmh. Sasa ndo ukute mama naye ana mambo mengi, basi mlezi mkuu anakuwa house gal. Sad
Mtu umeoa lakini still unataka kubehave as a bachelor. Ndo hayo "ooh nikirudi mapema washkaji watanionaje". Ujinga tu na kushikiwa akili, usioe basi uendelee kuwaplease washkaji

Wewe usicheke bana, juzi mtu anaongea wanaume wengi mnajisahau kwenye ndoa zenu, wake zenu wanahitaji sana attention yenu , mtu kajibu "baba ako alikuwa anakupa attention" mweee
 
huu sio muda wa huyu dada kuongopewa na outing akajua hali imebadilika.
.........tell you this, roho ya ukahaba ikiwemo ndani kwenu huizimi kwa outing as outing ni sehem ya kuitii ile roho ya ukahaba. suluhisho pekee Jack anatakiwa sasa aanze kusali tena si kwa masihara, ahakikishe anatubu adi Mungu anaikubali toba yake, kisha amuombe aachilie neema ya wokovu kwenye ndoa yake.
jamani mume kutoka nje kunauma msisikie hakuna kitu kitakachopoza hayo hata ufanyeje
Vipi kuhusu msando? Ye hatakiwi kutubu na kusali?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom