Gigy mkuu ni mtu wa ajabu ajabu tu , maana kuna siku alihojiwa kuhusu elimu na maisha yake alijubu very polite mpaka machozi kumtoka, anadai mama ake nae alikuwa malaya pia maana kwao kila mtoto na baba ake, amesoma mapka form four tu, baba ake aliikataa mimba yake, mama alitaka kutoa mimba ila aliogopa baada ya siku ya kutaka kuitoa mimba hospital akakutana na marehemu aliefariki kwa utoaji mimba, anadai yeye alizaliwa chooni mama ake alipata uchungu gafla akiwa anajisaidia, anadai alianza kujiuza mapema ili kutoa msaada wa matumizi ya kifamilia, alijiuza kwa mzee tajiri ili aweze kulipa deni la benki mama ake alilokuwa anadaiwa, alienda kukopa mzee akamwambia ampe uchi wamalizane nae akaongeza dau la mkopo lilikuwa dogo ila la kulala na huyo mtu akadai kubwa na likatekelezeka, Gigy ni mtangazaji wa kituo cha radio, Gigy anadai hajui idadi ya wanaume aliolala nao ila andai huwa anasikia raha ya ajabu anavyofanya matusi, huyu ndio Gigy kwa ufupi.