Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Kabisa yani.. Aisee hizi ndizo kati ya hasara chache za social networks. Huwezi kuficha aibu yako milele, yaani hizo videos mpaka wajukuu watakuja kuziona babu yao aliyokuwa anayafanya..
Ndio ubaya huo, na ukutane na watoto ambao pia maadili yalipita pembeni watambully na hiyo video hadi ajute!!
 
msamaha. Com.
Hana hata wasiwasi
Acha uchochezi wa kibwege... Kwani hiyo ndoa ikimwagika utaolewa wewe... Mwangalie Albert usoni utaona facial expression ya uoga, mawazo, kujutia na kujilaumu. Hapa mangi anatakiwa ampe Mke vacation aende ndi yoyote na ampe uhuru wa kufanya uhalifu wa kindoa kwa Kiwango kidogo.... Hapo anaweza akawa na Amani na akarudisha uanaume wake.
 
Ampe uhuru wa kufanya uhalifu wa ndoa!! Kwahiyo kosa moja linahalalishwa na kosa lingine!!!
 
Mbona umepanic sana.. Huyu kijana machachari albert sijui alubato kishakupima oil nini?
 
Not nature, driven by tamaa tu msisingizie nature. Mjitambue na
Simameni katika nafasi zenu muone kama kuna litakaloharibika. Mkidhani mnawakomoa wanawake zififikirieni na vizazi vyenu pia.
duuhh we mama haya...!!!
 
Gelofriend hivi maombi kwani lazma yawe mazuri? Ukifunga kumuombea mabaya haifai? 😀
[HASHTAG]#kamatiyarohombaya[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona kamati ya roho mbaya!
 
Naked truth
 
Mmh kwa kupenda kuombewa hamjambo. Haya tutawaombea ila nyie jiombeeni pia na epukeni mazingira hatarishi na vishawishi

Ahsante kwa movie, sitotoka kapa
Nakushauri uitafute.. Ni nzuri sana kwa wanaume wa aina hii unayosema..

Mazingira hatarishi si lazima bar tu, hata kazini mfanyakazi mwenzako anaweza kukuwekea mazingira hatarishi mkajikuta mmedondokea washing room ama lodge.. Maombi yenu ndio hutuokoaga kwenye hizi kadhia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…