Sasa tutafanyaje! Wanaume ni midege tena ni mideke poli haifugikiHuyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aliahidi kumpenda kwenye shida na raha[emoji124] [emoji124]Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Ha ha ha gwa kumyituKapyungu = muongeaji sana, in short mmea, mama alikuwa anatutania sana tukimsemelea
Ah wap. Wanaume ni watu wema sana!Sasa tutafanyaje! Wanaume ni midege tena ni mideke poli haifugiki
Mahaba yamehama moyoni yamehamia mitandaoniMbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
Ukiwa na hela ni upepo mchafu tu huu unapita mke atabakiMbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo mwanamke huko aliko uso mwekundu. Wanawake mngekuwa mnapendana Giggy ange apologies kwamba hakujua. Sasa analeta mistory ya ajabu.Mbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Zitto, msando, mbowe wanawala malaya sijawahi kuona
Ange omba msamaha fasta kwa mother houseHuyo Giggy Money anazidi kujichanganya bora akae kimya tu
Kamuaibisha mkewe tuHuyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Hata kama hela hakuna, utaacha wangapi?Ukiwa na hela ni upepo mchafu tu huu unapita mke atabaki
Tena pole kubwa, hii ni aibu kwakweli.Mbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
Hawa wanaume wa kutwa kucha kupost ig i love my wife huwa wazinzi tu wa kinya kimya kwa kivuli cha i love my wifeMbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
Wanawake hatuna akili za hivo, yani hapo ndo kwanzaaa gigy anajiona mtamu kuliko mke, anafanya mashauzi, anajiona bora hawezi kuomba msamahaAnge omba msamaha fasta kwa mother house
Hiyo video ipo wapi?nami nikaioneMbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake