LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Sasa tutafanyaje! Wanaume ni midege tena ni mideke poli haifugikiHuyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah