Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
No one is strong against K, especially when you have money
 
Kua mpole kichwa cha nyoka kikiamka kinapumbaza vibaya kichwa kilichobeba madegree,vifungu vya sheria,formulas,standard nk
Ha ha nimevuta picha hilo lijoka lilivyoamka mkuu...ni shidaa hahah
 
Alafu ebu fikiria zile promo zote anazompaga huyo Jackline Msando wake sijui hahah! Kumbe ful kumpumbaza yaani kumbe ni fisi anakula hadi mifupa dadekiiiii
Mwenzangu si umeona na ubuyu hapo juu kumbe hadi wanaume wenzie?
Nimeanza kufikiria mbali ule ukaribu alionao na akina Wema, Lulu n.k [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Mke mzuri, smart, fresh kama hajazaa
Angekua kajichokea ungesikia "wanawake mnajisahau ndo maana wanaume wanacheat" 😀
Msando kaamua ashuke kwenye range akapande vits
Hahaha kwa excuse ya wanawake tunajisahau hawajambo. Haya mke huyo jamani, bonge la package, kwenda kumtukanisha kwa kina giggy ni nini?

Na kuna uzi humu ulikujaga wa msando, zikatoka tu testimonies nyingi kuwa shughuli haiwezi haiwezi. Sasa mke anamtunzia siri, mwenyewe kaamua kuwa public pizza. Mambo ya kudhalilishana tu
 
Mwenzangu si umeona na ubuyu hapo juu kumbe hadi wanaume wenzie?
Nimeanza kufikiria mbali ule ukaribu alionao na akina Wema, Lulu n.k [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Huyu na yule Mzee wa vyuma vimekaza(nadhani ushamjua) ni shida cuzoo ukikutana nao kwenye zile chocho unaweza kuzimia!! Cha msingi ni kua mpole tu usimsemee mwanaume maana akiliamsha dude na kama hivi kila mtu anajuaaaa!!
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Hahahahahah.......beberu tena!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom