Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Wakili msomi kwenye ubora wake.
c3a5bab15c958dab3dd673ef8de60029.jpg

188a4c0b70b0f096a0e0adc2446261bf.jpg
 
Ambao hamjaiona video nendeni kwa shilolekiuno_official (shishi boy)
Mimi nimeionea huko.
Mange kaiweka na kuifuta ndani ya sekunde, sijui Msando kampandia hewani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Cuzo ninayo unaitaka[emoji85]
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Hiyo maisha club ya DOM Mbona mwonekano wake wa nje mbona huwa naona kama hauhamasishi kabisa
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee ni aibu kwa mwanaume mwenye mke tena mrembo eeeee mungu sitaki kujaona haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom