mwasu kulikuwa na demu mmoja apo udsm alikuwaga anatoka na beto, jaman yule mdada ni kama vile Mungu alimtapika kutoka kwenye kinywa cha haya maumivu.
hope Tina unaenjoy maisha yako ya ndoa, na haya maumivu yamekupita. Mungu azidi kukutunza na ndoa yako.
Jack mdogo wangu umefika wakati sasa wa kutulia chini uanze kusali sana Mungu aokoe ndoa yako. tayari una mtoto mzuri handsome wa nguvu. usitake huyu shetani amfanye achukie kuzaliwa na nyie. kama mama unaweza kufanya jambo. piga goti sali sana ombea ile neema ya wokovu ije nyumbani kwako.