Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

huyu ni mmoja kati ya watu wanne!!!!!!!!111111
 
Hili dude halijawahi kunivutia hata kwa mbali
Hata mimi aisee,afu mungu kwel n wa ajabu,hili toto kama angelipa sura nzuri sijui ingekuwaje maana linavojitapa lizuri wakat linamashavu kama limeiba nyama jikoni,eti likawa linamponda shishi sio mzuri,eti wazuri nikuanzia 18-20 years.
 
kwa mujibu wake yeye mwenyewe anasema malezi mabaya yamechangia yeye kuwa pale....alianza kutumika chuchu hazijaota,tusimkatie tamaa kwenye tanzania ya viwanda atapata ajira tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…