Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Ana matatizo ya kisaikolojia,makuzi yake alikuwa abused sana,
source,yeye mwenyewe
Akili yake tu chafu, wala msiwasingizie wazazi na walez wake, hata kahaba hatamani mwanae aje kuwa kahaba, who can prove kuwa makuzi yake yalikua abused? Na wangapi wamekulia kwenye abuses environment na bado hawajianiki kama huyu Mbwa
 
Jana ilikuwa ni siku yao, Dar ndio inaongoza kwa wagonjwa wa akili, serikali imejitahidi kuweka vituo vyao Muhimbili. Milembe n:k.

Kama una nia ya kumsaidia mpeleke kwenye moja kati ya vituo hivyo.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Jana ilikuwa ni siku yao, Dar ndio inaongoza kwa wagonjwa wa akili, serikali imejitahidi kuweka vituo vyao Muhimbili. Milembe n:k.

Kama una nia ya kumsaidia mpeleke kwenye moja kati ya vituo hivyo.
Mtu 1 kati ya 2 anakichaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dar banaaaa
 
The hate is Real..........meanwhile.......Kim K is glorified by the same ''haters''
 
Back
Top Bottom