Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Hawa kujifanya wana makalio mazuri/makubwa Hanna lolote in kutafuta kiki tu ,huku uswazi wapo bhana tena wapo kimya hakuna cha Gigi wala sijui masogange
 
Eeh Mola!! Asante na Endelea kunipa maarifa na mwongozo wa kuwalinda wanangu dhidi ya kizazi hiki!
 
Hawa kujifanya wana makalio mazuri/makubwa Hanna lolote in kutafuta kiki tu ,huku uswazi wapo bhana tena wapo kimya hakuna cha Gigi wala sijui masogange
Usipanic deal na wauswazi wenzio...
 
Akili yake tu chafu, wala msiwasingizie wazazi na walez wake, hata kahaba hatamani mwanae aje kuwa kahaba, who can prove kuwa makuzi yake yalikua abused? Na wangapi wamekulia kwenye abuses environment na bado hawajianiki kama huyu Mbwa
nimekwambia yeye ndo source ya habari hiyo,sio mimi! refer interview yake na zamaradi
 
nimekwambia yeye ndo source ya habari hiyo,sio mimi! refer interview yake na zamaradi
Sasa tunabishana au? Alikwambia nani mtu akijihusisha na mambo machafu atakwambia kua background yake ilikua ni nzuri?? Labda ije jamii aliyokua akiishi nayo ituambie otherwise atakua ana justify uchafu wake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…