strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Mmmh kibaya kwako,we si umeona hpo juu wengine wataka amia Dar.[emoji3][emoji3]
Muda utoke wapi? Wanaume siku hizi tunatoa 500 na yeye kwa siku lazima akusanye laki tanoKwa mjomba kuna kilio teh
Hata kama ni kauka nikuvae ndo hainyoishwi
Sidhani kama anakwake huyu, itakuwa usiku utakapomkutia ndo analala hapohapoHivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Mhhhhhhhh huyu alisema atamaliza wasanii wote bongo
Hivi hereni kwa mwanaume ina maanisha nini sikio?vijana wa kiume siku hizi kazi kweli kweli....kuiga uzungu kunawapoteza kabisa
Ina maana yake huko kwenye asili yakeHivi hereni kwa mwanaume ina maanisha nini sikio?
Ha ha ha kama ndege vileSidhani kama anakwake huyu, itakuwa usiku utakapomkutia ndo analala hapohapo
Huo muda wa kuwa na kwake atautoa wapi, simchukii ila namsikitikiaHa ha ha kama ndege vile
Huyu alipaswa kuolewa na Ney
Maana wote ni watafuta ma bifu
Ngoja nihamie Dar aiseeee....
Maana naona huku Ushirombo hakuna sukari kabisa..[emoji39] [emoji39]