Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
StaaHivi hereni kwa mwanaume ina maanisha nini sikio?
Mwalim alikuwa mmoja tu JK Nyerere hawa wengine ni matecha tuu!Na mnukuu "Mama ndiye mwalimu wangu mkubwa, najifunza kutoka kwake" mwisho wa kunukuu
Dahh.....Hata D hotel au Olimpic sukari hamna?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hamjifichi ha ha haa!Dahh.....
Umenikumbusha one time nilitimba pale Olympic bana....[emoji5]
Sasa katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja wa kikenya matata...[emoji39] aiseeee.... Hapo nilikua nasukuma mkoko wa kuazima kitu cha Hammer, siunajua kile kiwanja noma sana man ndomana nikalazimika kufungia mkebe wangu kulee....[emoji594], na nika azima dude la Vvuummm.....[emoji596]
Nakwambia ilinibidi niamue kuogelea kwenye ile man made River..[emoji13] , kisha nikajifanya kama nimezama kwa kushindwa kuyakata maji..[emoji6] ili nisaidiwe na (diver) mtoto wa kikenya..[emoji12] [emoji12]
Wacha nijilegeze kwenye sukari ya yule mtoto[emoji23] na alivyo kua ana chura [emoji13] [emoji13] ogopaaa
Hivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Kwa kweli hana pasi maana tulivyoachana nilimtimua akaondoka mweupeeee kama alivyokuja.Hivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo