Gigy Money anatoka na Matonya

Wanaume wa darisalaama mnapenda vyura! Yaani kashfa zote hizi bado mwingine anaingia tena kwa mwendo wa kujibwaga na viselfie juuu!
 
Maisha ya wasanii na wanamuziki wetu ili ubaki mjini lazima ufanye usanii, ifike mahali ujitoe ufaham na utu wako. Mungu epusha kizazi hiki na uhuni umilaya.
 
Hata D hotel au Olimpic sukari hamna?
Dahh.....
Umenikumbusha one time nilitimba pale Olympic bana....[emoji5]
Sasa katika pitapita nikakutana na mtoto mmoja wa kikenya matata...[emoji39] aiseeee.... Hapo nilikua nasukuma mkoko wa kuazima kitu cha Hammer, siunajua kile kiwanja noma sana man ndomana nikalazimika kufungia mkebe wangu kulee....[emoji594], na nika azima dude la Vvuummm.....[emoji596]
Nakwambia ilinibidi niamue kuogelea kwenye ile man made River..[emoji13] , kisha nikajifanya kama nimezama kwa kushindwa kuyakata maji..[emoji6] ili nisaidiwe na (diver) mtoto wa kikenya..[emoji12] [emoji12]
Wacha nijilegeze kwenye sukari ya yule mtoto[emoji23] na alivyo kua ana chura [emoji13] [emoji13] ogopaaa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Hamjifichi ha ha haa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…