Gigy Money asema yupo tayari kucheza filamu za ngono kwa sharti hili

Gigy Money asema yupo tayari kucheza filamu za ngono kwa sharti hili

Teh Teh sipati picha Rais anapokutana na habari kama za kina Gigy...!

Uwezi amini eti kati ya watanzania ambao wana afya ya akili na Gigy naye hujumuishwa daaaaaa...
nyie ndiyo mliotufikisha hapa
 
Kwani huyu gigy money hakukamatwa kwenye lile kundi LA makahaba waliokamatwa???
 
Kuna millions wanacheza hizo filam za ngono bure kabisa...
asije kudanganywa atalipwa mamilioni akaishiwa kutapeliwa
hao kina Cherokee tu ni maarufu porn stars na wanalipwa dolar 800 tu kwa saa...
Umenifurahisha sana. Kumbe anasema sahihi. Hakukuambia anataka mamilioni mangapi. Mfano akipewa dola 500 kwa saa na akacheza masaa 10 kwa wiki atapata shs 10m/=. Hayo ni mamilioni tayari na anaweza kuehuka.
Mamilioni anayozungumzia inaweza kuwa 3m/=.
 
Yuko tayari kucheza filamu ya ngono gani? Ka dau gani?

Ngono ya siku hizi si sawa na ngono ya bibi yake, kuna watu watasema wanataka kuona double fisting.

Ataweza?
 
Hajitambui huyo, anadhalilisha wanawake wenzake kisa pesa
 
Shida ya huyu Dada anatafuta umaarufu kwa nguvu na kwa akili zake zote. Hamna kingine anachowaza
 
Back
Top Bottom