Gigy Money: Kudanga Ndio Kunaniweka Mjini

Gigy Money: Kudanga Ndio Kunaniweka Mjini

Ama kwa hakika vijana wanafaidi sana

Ngoja na mimi nijikusanye nimtafute nimkashitue jando

Liwalo na liwe......
 
Kwamba yeye ni Malaya fulani hivi na umalaya wake ndiyo unamuweka MUJINI vinginevyo angekuwa madongo kuinama.
Wengi wao ndo maisha yao lakini wanajishikiza kwenye naniliuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanajishikiza kwenye naniliu

Wengi wao ndo maisha yao lakini wanajishikiza kwenye naniliuu
 
Hivi niulize mbona kalio limenyauka sikuhizi?
 
Hivi niulize mbona kalio limenyauka sikuhizi?
Mkuu inawezekana hilo la ss ndo halisia, lile la zamani ndo haya ya kuunga unga, kuna Mmoja juzi kati alilidondosha la upande mmoja akigombea Daladala!
 
Back
Top Bottom