Gigy money na Nywele za Milioni 6

Gigy money na Nywele za Milioni 6

Snitch2020

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
77
Reaction score
91
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako

Snitch2020
 
Gigymahelaa!

Akili zake anazijua mwenyewe, sema kasema huyo mwandishi wa habari alikua anataka nn kumuuliza habari za nywele zake wakati pombe ilishamkaa kichwani [emoji2] [emoji2]
 
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako

Snitch2020

Ungese huu.
 
JPM kwa mwendo huu watu watakuwa vichaa. Maana si kwa matangazo haya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako

Snitch2020
kama ni zim dollar sawa
 
Back
Top Bottom