Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako