Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Ungese huu.Mambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako
Snitch2020
nasikia anagawa papaGigy makiki
Nilikuwa simpendi ila nampendaaaa siku hizi
nasikia anagawa papa huko mjini?? namalizia kuuza magimbi na mimi nije mjini!!Gigy makiki
Nilikuwa simpendi ila nampendaaaa siku hizi
kama ni zim dollar sawaMambo vipi wadau. Mimi naitwa Snitch2020
Katika pita pita yangu kwenye motandao nlikutana na video ikimuonesha Gigy akiclaim kuwa Kuna nywele alizinunua M6. Kiukweli imenishangaza ana lakini baada ya kutafakari nikagundua kuwa alikuwa akimaanisha Milioni 6 za Zimbabwe(zim dollars). Hebu cheki anavyojimwaga kwenye video kisha toa maoni yako
Snitch2020
Hapana bwana me nataka hizo ndala nikaogeeJomoni katika hiyo milioni sita si angetoa jero anunue bra.
Nilifikiri sikumsikia vizuri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]nilinunu hapahapa ml 6 si unajua wanalipia kodi? ukiagiza kodi inakuwa kubwa ndo maana niliagiza
Labda ni baada ya ile ngoma ya "nampa papa"Gigy makiki
Nilikuwa simpendi ila nampendaaaa siku hizi