kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kwa kwl kwa huu mwaka unaenda kuisha huu wimbo wa huy mlimbwede gigy umesumbua sana. Na kwa upande wangu nikiambiwa nitaje wimbo bora kwa mwaka huu 2017, nampa papa una kila sifa ya kuwa ndo wimbo bora.
Kuanzia melody, saut, na beat yaani gigy apa nakupa heko.
Kuanzia melody, saut, na beat yaani gigy apa nakupa heko.