Gigy money- nampa papa ndo wimbo wng bora kwa mwaka 2017

Gigy money- nampa papa ndo wimbo wng bora kwa mwaka 2017

Ni kwel kabisa mkuu,huu siku nauckia kwa Mara ya kwanza ckujua kaimba nani had nikaulizia nikaambiwa anaitwa gigy money,binafsi nilkuwa cmjui kabsa
 
pamoja na ukahaba wake ila hii ngoma yake imetulia sn huwezi kulinganisha na seduce me
 
pamoja na ukahaba wake ila hii ngoma yake imetulia sn huwezi kulinganisha na seduce me
Naona domo ana wimbo hata unaoukaribia Papa afadhali seduce ndo maana unajaribu kuzilinganisha
 
Naona domo ana wimbo hata unaoukaribia Papa afadhali seduce ndo maana unajaribu kuzilinganisha
wewe wenzetu nadhani utakuwa bado upo enzi za "zipompapompa zipompelepapa" suala la mond mimi sitakujib utajibiwa na wengine hapa ila kifupi tu papa ya giggy imeikata kata funua seduce me ya kibakuli
 
Back
Top Bottom