kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Hatari sana...kwenye hii ngoma gigy katisha sa nazile Rumba masebene- Motema nangai..
jamani lakini tuseme ukweli gigy alifanya kazi hapa
Hata kwa iyo promo but papa ime kiki kuliko wimbo wwt wa alikiba kwa huu mwaka 2017MWENYEWE ANAKUAMBIA BILA KUPEWA PROMO,ALIKIBA ANGEPOTEZWA NA WIMBO WA PAPA.
Naona domo ana wimbo hata unaoukaribia Papa afadhali seduce ndo maana unajaribu kuzilinganishapamoja na ukahaba wake ila hii ngoma yake imetulia sn huwezi kulinganisha na seduce me
Naomba papa [emoji4] [emoji4]Gigi machupi nomaaa..".nampa nampa nampa paa..."
wewe wenzetu nadhani utakuwa bado upo enzi za "zipompapompa zipompelepapa" suala la mond mimi sitakujib utajibiwa na wengine hapa ila kifupi tu papa ya giggy imeikata kata funua seduce me ya kibakuliNaona domo ana wimbo hata unaoukaribia Papa afadhali seduce ndo maana unajaribu kuzilinganisha
Hii track kaandika dogo aliyeandika kivuruge na track nyingine nyingine anajua saana.Hapo Gigy alifanya kazi