Gigy Money: Ney wa Mitego ni mpumbavu, hajitambui

Gigy Money: Ney wa Mitego ni mpumbavu, hajitambui

Mkuu Ushimen , siku ukibadili hiyo avatar yako moyo wangu utafarijika sana. Thank you!
Asante kwa ushauri wako mkuu.
Kwanza nimepata hisia za kwamba, umekua mfuatiliaji wa maandishi yangu na bila shaka yanakuvutia[emoji1].
Asante kwa hilo.
Pili naomba nikiri kabisa kwamba avatar yangu nimeamua kuiacha kwa makusudi kabisa sababu naiona kama ndio kitambulisho changu muhimu na kipekee sana humu jf.
Pia nikiri kwamba wapo wengi walio wahi niambia kwamba wanachukizwa sana na hii avatar yangu.
 
Sina shida kabisa na maandishi yako. Hiyo avatar tu jamani..inaniumiza kichwa mie, na vile navyopenda kufuatilia maandishi yako you can imagine shida gani napata. i hope one day my request will be considered!
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Huyo Ney ni mpumbavu kumbe!

Kwanini anakiuka makubaliano... Anadharau kazi ya mwenzake....vipi yeye akapige shoo alafu promoter asimpe walichokubaliana kwa kigezo tu cha tabia zake za kuwasema wasanii wenzake?!
 
Ney ana akili sana... hiyo yote ni kuupa wimbo wake kick...anajua akimpa hiyo atalia lia njaa na kutangaza.. kumbe ndiyo anaupa promo huo wimbo...

Kila mtu sasa anataka auone huo wimbo na wapi alipozulimiwa...
 
Upumbavu eti nimechukulia uzungu.....kwani kutidau hela nfio uzungu....angekuwa ungekuwa serious usingepikea buku20 na kuja kulalamika kweye mediA.....we gigi sijui giggy mwehu kweli ..zero kabisa
 
Hawajui kwamba huu ni wakati wa JPM wamwagaji pesa wao wanatumbuliwa ataikumbuka hio laki 5
 
Huyu demu niliamua kumfuatilia picha zake insta,wa kawaida sana.tena makalio yake yamekaa juu tena yako flat.Nashangaa anavyopaishwa!
 
Eti anachukulia uzungu ndio maana hadai hela yake, yaani akili yake inamdanganya kwamba wazungu hawadai hivyo asipodai naye anaonekana mzungu!!!!! Jamani hivi huyu binti ana shule kweli kichwani au ni buku ishirini alizopewa kwa mbinde ndio zinamsumbua?
 
Bado kidogo tu ataiheshimu hiyo hela hasa chini ya utawala mpya uliopunguza idadi ya mabuzi mjini.....
 
Ney alisema kwamba Demu ana sura mbaya lakini ana bonge la tako. Sasa sijajua kama ndio alikuwa ana msema Gigy money
 
Back
Top Bottom