Just for your info, huyu dada huwa anajiuza ndo sababu laki tano sio kitu kwake. Ukimcheki Instagram utajua hiloHayo mengine hayanihusu lkn anaposema laki5 sio hela, najiuliza mara mbili mbili km nilikuwa sahihi kukubali kumskiliza Mwl darasani kwa miaka 18
Hapa laki si pesa kapata mpinzani mwenzie tano.Aisee,
Kumbe laki 5 ni pesa ndogo sana kwa Gigy !
Asante kwa ushauri wako mkuu.Mkuu Ushimen , siku ukibadili hiyo avatar yako moyo wangu utafarijika sana. Thank you!
Sina shida kabisa na maandishi yako. Hiyo avatar tu jamani..inaniumiza kichwa mie, na vile navyopenda kufuatilia maandishi yako you can imagine shida gani napata. i hope one day my request will be considered!Asante kwa ushauri wako mkuu.
Kwanza nimepata hisia za kwamba, umekua mfuatiliaji wa maandishi yangu na bila shaka yanakuvutia[emoji1].
Asante kwa hilo.
Pili naomba nikiri kabisa kwamba avatar yangu nimeamua kuiacha kwa makusudi kabisa sababu naiona kama ndio kitambulisho changu muhimu na kipekee sana humu jf.
Pia nikiri kwamba wapo wengi walio wahi niambia kwamba wanachukizwa sana na hii avatar yangu.
Asante kwa ushauri mkuuSina shida kabisa na maandishi yako. Hiyo avatar tu jamani..inaniumiza kichwa mie, na vile navyopenda kufuatilia maandishi yako you can imagine shida gani napata. i hope one day my request will be considered!