Gigy Money: Niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Gardner kwa miezi 6 sasa

Gigy Money: Niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Gardner kwa miezi 6 sasa

Giggy amepata hzo kick alizokua anatafuta aisee. Kila pande ni yye tu. Mungu hakunyimi vyote,
 
ha ha ha ha ha haaaaa.......uwiiiiii yan aseee...muuza utupu asipotoka safari hii! akatafute porn acheze tu!
 
Hivi tatizo ni nini!!?? Naona tasnia ya sanaa inazidi kujaa UJINGA.. Whats happening!?
 
Mi natoa onyo,kama unajijua we ni mtu maarufu au mtu wa watu plz usijaribu hata one night stand na huyu chizi...Atakuaibisha hakyamama tena!
 
naona Giggy kawafunika kabisa Diamond na Wema kuongelewa mitandaoni
 
Back
Top Bottom