Gigy Money: Niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Gardner kwa miezi 6 sasa

Gigy Money: Niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na Gardner kwa miezi 6 sasa

Gadner anasema gigy anapenda kazi anazozifanya...ni zipi hizo.. za kukojoza au?
 
Huyu anataka Lady JayDee ajinyonge, na mwaka huu Gadner lazima atafutiwe kesi. Chezea mama wa kikurya.
 
Ukitaka kuwa star bongo tengeneza scandal za kutosha.
 
Hahahaa afu kumbe ni toto sana kuna baadhi ya mambo Gigy ni ya kumsamehe tu
 
GAGY.jpg



Nasikia Gigy anasema Gardner hachomoki kwake kisa anampatia vitu vya Mitandao pendwa halotel pesa hahahaha mjini bwana
 
Back
Top Bottom