Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

ni bilaa balaa but amesema huyo jamaa anayempa hiyo mipesa sio mpenzi wake ni sponsor tuu anampa kwa ajili ya mahaba sio "K"
 
Mambo mengine buwanaa, naona ni kutufunga kamba tu. Yaani ni mrume gani mwenye akili kila akija kukojoa atoe laki 5? Na huyo mdada kaweka nini humo hata kama yavuta pumzi? Aseme kuwa humpata huyo bwege mara once per month. Ati kila siku, huna hata siku zile tepetepe?? Yaan nachukia uongo mpaka baaz. Haya, tumemsikia akisifia puchi yake ila hakusema amewekamo nini cha mvuto huo??
 
Huyo chizi hyo k yake inaulimbo au inamashavu ya almasi anatafuta umaarufu mbuzi ,ningekuwa mkuu Wa nchi watu kama hawa nawapeleka kufanya kazi za jamii bure,kama kudeki vyoo vya hospital,kufagia barabara,kuzibua mitaro n.k
 
Hilo tangazo lake amelilipia hapo EA RADIO?
 
Nimemsikiliza huyo dada yaani she's a bad news,kama wewe mtu maarufu ukimla tu dunia nzima itajua
Tayari Kiba kesha umbuka. Hiyo laki tano maana yake ndiyo bei ya chini kabisa ya kuingia naye miataba wa dhambi ( bottom price). Hizo picha anazitumia kushawishi kimawazo na kuvutia watu(invitement to treaty).
 
Kampimeni akili yake huyu Kwanza, huenda mnakaa kujadili mtu chizi
 
Nimemuona jamaa mmoja kamkumbatia,nikaanza kuwaza kwa sauti"katika vitu ambavyo JIDE aliwahi kukosea duniani,ni kuwana uhusiano wa mapenzi na kuolewa na GARDENER,bora angeolewa na COBBLER."
 
Huyo anaempa laki tano ana shughuli gani?! Si kwa awamu hii ya anko magu
 
tano tu unashangaa kwlei we mgeni dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…