Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 537
ni bilaa balaa but amesema huyo jamaa anayempa hiyo mipesa sio mpenzi wake ni sponsor tuu anampa kwa ajili ya mahaba sio "K"Huyo anayempa kila siku Tsh Laki tano TRA wameshakata percent yao hapo au? Halafu Watanzania tunapenda sana kupeana " mvua " ( kudanganyana ). Hivi kuna Mtanzania tajiri mwenye jeuri ya kuhonga kila siku Tsh 500,000/ kwa Demu / Mwanamke? Hiyo " K " unayoigharamikia hivyo ina bluetooth au internal memory card? Haya maisha ya video ndiyo yanatuponza na kutupoteza sana Watanzania kila kukicha kudadadeki zetu.