Arusha ipi....hii hii ya dogo janja? Dogo janja keshaichafua hadhi ya Arusha. Arusha sasa ni slek nafuu ya Tanga.yaani nimeangalia hyo clip nimemuona mpumbavu sana huyo binti ....hana adabu hata kidogo ...watanzania mabinti kama hawa huku arusha wangeshakula fimbo 70 kwa uchizi kama huo
bado hatujafikia kiwango hicho cha kudharau mama zetu nyie mnawalea sn haoArusha ipi....hii hii ya dogo janja? Dogo janja keshaichafua hadhi ya Arusha. Arusha sasa ni slek nafuu ya Tanga.
Si kaachwa....We utaendelea kumpa chambo samaki ambae ushamvua?!Kwasababu gani kanyang'anywa??
Kwa hili mafuriko tutayasingizia bure tu mkuu!Hayo Mafuriko yatakuwa yamesomba na akili zake kwakweli..,
H a h a a., Mkuu umemaliza kazi!Kwa hili mafuriko tutayasingizia bure tu mkuu!