Gigy Money: Nimetoka kwenye mafuriko, hivyo imenilazimu kuishi nyumba yoyote

Gigy Money: Nimetoka kwenye mafuriko, hivyo imenilazimu kuishi nyumba yoyote

Hayo Mafuriko yatakuwa yamesomba na akili zake kwakweli..,
 
Mjini pagumu kweli maana kumiliki Gheto si kazi ndogo si useme tu hapo ndo ulipojipiga ukafanikiwa kupanga hahaah! ila Gigy bwana upunguze shobo zako za kutudanganya wig milion sita.Ukweli utakueka huru.
 
yaani nimeangalia hyo clip nimemuona mpumbavu sana huyo binti ....hana adabu hata kidogo ...watanzania mabinti kama hawa huku arusha wangeshakula fimbo 70 kwa uchizi kama huo
Arusha ipi....hii hii ya dogo janja? Dogo janja keshaichafua hadhi ya Arusha. Arusha sasa ni slek nafuu ya Tanga.
 
Arusha ipi....hii hii ya dogo janja? Dogo janja keshaichafua hadhi ya Arusha. Arusha sasa ni slek nafuu ya Tanga.
bado hatujafikia kiwango hicho cha kudharau mama zetu nyie mnawalea sn hao
 
Kwahiyo na lile Wigi la mil.6 nalo limeenda...duh!!
 
Back
Top Bottom