Gilead licenses Danish Bispecific antibodies for the next HIV Cure

Tiba kupatikana bado sana labda karne ijayo...hizi story za kupeana moyo zipo miaka mingi sana. Hamna lolote
 
Gary tuliyonayo sasa hivi si kama enzi zile za HIV kuitwa Juliana. Na ni hizi research ndiyo zimetufikisha hapa.
 
Tiba kupatikana bado sana labda karne ijayo...hizi story za kupeana moyo zipo miaka mingi sana. Hamna lolote

Kwanininunasema hivyo?

Kwani ni kipi hasa kinakwamisha upatikanaji wa hizo dawa?

Kipi kinachokosekana leo kitapatikana ilinkuwezesha upatikanaji wa dawa hizo?
 
Medical ethics hizi dawa mpaka ziwe proved kuwa hazina madhara kwa binadamu inaweza kuchukua miaka 10
 
Asante mwanzisha Uzi, nimehabarika. Lakini MTU akiandika HIV inatosha , usiongeze neno virus kwakuwa katika kifupisho HIV neno virus lipo humo, ni kosa la kiuandishi linalofanywa na watu wengi, nadhani si mbaya tukajitahidi kuacha. Otherwise hongera Sky
 
Sijaongelea habari ya approval nmemuuliza huyo jamaa hapo juuu aliyesema haziwezi kupatikana leo kwann zisipatikane leo mpaka baadae? Kuna nini kinachokwamisha sasa hivi baadae kitakuwepo?
Medical ethics hizi dawa mpaka ziwe proved kuwa hazina madhara kwa binadamu inaweza kuchukua miaka 10
 
Kwanininunasema hivyo?

Kwani ni kipi hasa kinakwamisha upatikanaji wa hizo dawa?

Kipi kinachokosekana leo kitapatikana ilinkuwezesha upatikanaji wa dawa hizo?

Jibu ni biashara ya hayo madawa, si umeona hapo mabilioni yaliyotumika kwenye manunuzi na uwekezaji mwingine.
Uwekezaji katika kuzalisha magonjwa ni mzuri sana.
Unazalisha magonjwa halafu unatengeza tiba magumashi ili uendelee kupiga fedha.
 
Una uhakika gani kama biashara hebu leta facts
 
Kama siyo biashara kwanini mnawapoteza wanaowapinga na uongo wenu wa HIV?
Celia Faber, Robert Laar hoven, Dr Kery Mullis. Na wengine wengi
Una uhakika gani kam walipotezwa na sio kufa kwa ugonjwa kama ilivyoelezwa
 
Kwa hiyo data za uhakika za mauaji zinapatikana toka kwa makamanda wa Brigedi ya mauaji CDC ikisimamiwa na WHO ehe?

Maswali ya kaqaida tu unashindwa kujenga hoja

Ushauri wangu kasome kwanza soma CDC wanasemaje na WHO wanasemaje

Halafu soma na denialist wanasemaje ukimaliza njoo ujenge hoja kwa kitu unachokijua na sio kuleta porojo tu
 
Back
Top Bottom