Unajua hawa wanamaigizo wa kibongo kila kitu wanajua! umezoea kuoga kwenye ndoo au beseni umeona bahari kiherehere! wamekubeba wamekushikashika kwa wastani amejiaibisha!
Kila mtu anataka kumpa huduma, cheki hiyo njemba iliyovaa singland ya kijivu hapo mbele palivyovimba kama sio watu wako wengi huyo gilla angekwenda kujitambua hospitali..!!
Hebu mcheki huyo kijana aliyevaa bukta ya kijani, kachuchumaa na macho yake yako kwingine kabisa (anayaangalia mabastola kwa uchu). Na huyo aliyevaa bukta ya njano (aliyesimama katikati) tayari amesha-"disa". Uokoaji gani huo sasa? Shigongo acha kutuchezea akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.