Gilla anusurika kufa maji

Njemba hizo mbna kama anataka kumgegeda
 
Manamake mangine bwana, yaani unaenda kuanika mapaja hadharani hivyo kisa nini? Msongo wa mawazo? Hivi viokoaji vingemsweka koboko kwanza pambaff!
 
Unajua hawa wanamaigizo wa kibongo kila kitu wanajua! umezoea kuoga kwenye ndoo au beseni umeona bahari kiherehere! wamekubeba wamekushikashika kwa wastani amejiaibisha!
 
Kila mtu anataka kumpa huduma, cheki hiyo njemba iliyovaa singland ya kijivu hapo mbele palivyovimba kama sio watu wako wengi huyo gilla angekwenda kujitambua hospitali..!!
 
Source ni GPL?haaaa haaa amini nawaambia uyo bongo muvi alikua kazini(location).
 
Nimecheka ile picha ya kwanza pale juu, eti "Gilla akiogelea". Kuogelea gani maji ya ugoko?
 
Duh itabidi apunzike kuogelea kwani ile sehemu inamzunguko wa maji na ukipaniki inalea shida sana,,,
 


Hebu mcheki huyo kijana aliyevaa bukta ya kijani, kachuchumaa na macho yake yako kwingine kabisa (anayaangalia mabastola kwa uchu). Na huyo aliyevaa bukta ya njano (aliyesimama katikati) tayari amesha-"disa". Uokoaji gani huo sasa? Shigongo acha kutuchezea akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…