Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu embu nitafute na mimi nikupe mtaji wa mitungi ya gesi 100 usimamie ili na sisi tuwe mabilionea tusambaze gesi hadi viwandani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


utajiri hauji kirahisi hivyo mzee baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ginimbi kazaliwa mwaka 1984. Basi nadhani Mke wake atakuwa mkubwa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kakaza tu hakuna majini wala nini,jamaa alikamata fursa TWENZETU akatambaa nayo,Jamaa Joka lenye makengeza mtu wa madili kama chenge.
 
Ndipo alipochagua kama wewe ulivyochagua utajiri wako uutafutie QNet swala ni kuheshimiana tu.
Hahhahah enh tusichoshane!!
Kila mtu atafute anapoona panafaa!
Mbn sisi tunavumilia wakisema ukiingia Refaro unakuwa na cheo Kama Cha Trump,na hata hotels utaapangiwa anapolala yeye!!
Tunavumilia kimyaaaaaaa!
Mbn huwa hatubishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…