Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu embu nitafute na mimi nikupe mtaji wa mitungi ya gesi 100 usimamie ili na sisi tuwe mabilionea tusambaze gesi hadi viwandani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


utajiri hauji kirahisi hivyo mzee baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama utakuwa mfuatiliaji wa mitandao na habari za watu mashuhuri, bila shaka huwezi kuacha kulitaja jina la mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe anayejulikana kwa jina la Genius Kadugure al maarufu kama Ginimbi.
ginimbi6.jpg
Ginimbi ambaye amezaliwa October 10 mwaka 1984, ambapo mwaka huu anatimiza miaka 34, alianza biashara ya umachinga akitokea katika familia duni ya watoto wanne huku yeye akiwa ndiye mzaliwa wa kwanza.

Lakini ghafla hali yake ya kimaisha kwa ujumla ikianza kubadilika baada ya kukutana na mtaalum nguli Mtang’ata wa Mtang’ata mpakani Tunduma wakati akiwa katika biashara yake ya Umachinga.

Hapo ndipo safari yake ya mafaniko ilipoanza baada ya kukubali kulinda na kutii maelekezo na siri alizopatiwa kutoka kwenye ufalme wa majini kabla ya kupatiwa utajiri ambao hadi leo anaufaidi bila masharti ya kutoa mtu kafara.

Utajiri wa pesa za majini ukamuwezesha Ginimbi kumiliki kampuni kubwa ya kusambaza gesi ijulikanayo kama PIONEER GASES yenye matawi yake nchini Zimbabwe, Botswana na Afrika Kusini.

Pia ameweza kumfungulia mke wake anayeitwa Zodwa Mkandila kampuni kubwa inayojihusisha na masuala ya utalii inayoitwa TRAVERZE TRAVEL. Unaweza ukaona hiyo ni moja yasehemu ya utajiri wake.

Halikadhalika ana miliki majumba makubwa ya kifahari yaliyopo Afrika Kusini katika mji wa Johannesburg, Botswana, Harare Zimbabwe na magari ya kifahari kama vile Bentley Continental Gt, Rolls Royces Ghost na Rolls Royce Phantom, Range Rover Lumma na Range Rover Velar, Mercedes Benz G-Wagon n.k
ginimbi5.jpg
ginimbi3.jpg
ginimbi7.jpg
ginimbi4.jpg

ginimbi2.jpg
ginimbi8.jpg
ginimbi1.jpg
Ginimbi kazaliwa mwaka 1984. Basi nadhani Mke wake atakuwa mkubwa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kakaza tu hakuna majini wala nini,jamaa alikamata fursa TWENZETU akatambaa nayo,Jamaa Joka lenye makengeza mtu wa madili kama chenge.
 
Ndipo alipochagua kama wewe ulivyochagua utajiri wako uutafutie QNet swala ni kuheshimiana tu.
Hahhahah enh tusichoshane!!
Kila mtu atafute anapoona panafaa!
Mbn sisi tunavumilia wakisema ukiingia Refaro unakuwa na cheo Kama Cha Trump,na hata hotels utaapangiwa anapolala yeye!!
Tunavumilia kimyaaaaaaa!
Mbn huwa hatubishi?
 
Back
Top Bottom