MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Mlemavu.................Hebu fafanua hapo kwenye herufi kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlemavu.................Hebu fafanua hapo kwenye herufi kubwa
Mmh kama kweli vile...Mlemavu.................
Hahahaaaa zote.....jamaa flani hivi anapigaga suti.supertall ivi.Haha..Despicable 1 au 2?
Mmh wewe utakua mtanzania tu!!Daahh kweli ana bidii lakini poda lazma imehusika hapo!hiyo ni level ingine bana
Ufanye kaz sa 12 kwa cku hakka utafankiwa..ingawa huwetofkia ubilioneasijui nifanyaje niwe bilionea [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Gas tu labda kama kuna kingine cha ziada
Hahahaaaa nilikua nimenuna nusu kupasuka imebidi nicheke tuPAGAN said:Mkuu sio Gas ya kuvimbiwa maharage mkuu, ni gas inayotumika majumbani na viwandani.
So what if he is happy and chose her by his own free will?Ganda hilo,wauza sembe wanafanikiwa sana huko South.Ila na yeye anapenda vibibi kizee ,yule mkewe ni bibi kabisa.
Ganda hilo,wauza sembe wanafanikiwa sana huko South.Ila na yeye anapenda vibibi kizee ,yule mkewe ni bibi kabisa.
Hahahaaaa zote.....jamaa flani hivi anapigaga suti.supertall ivi.
Hakuna cha kusambaza gesi wala nini hapo ni cocaine tuuSiri ya utajiri wake anaijua mwenyewe hizi zingine ni kutia nakshi nakshi tu.
Hahhahaaaa napenda sana......apa nawatch the nut job 2 karibunitairudia...perfect combo kama unaangalia animation