Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

GNM.jpg

GNM1.jpg
 
Story kama hizi,ndio kufanya watu wajiingize kwenye kuuza unga,for Gods sake there is know way utoke kuwa mmachinga,kwa kipato cha umachinga ufikie kuwa hapo,alipo huyu jamaa,unless ni mcheza mpira,,
Hata Diamond,imemchukua miaka zaidi ya 12,kufikia hapo alipo,Dangote empire yake ameijenga kwa miaka 45,Bakheresa je? Hizi story za kijiweni,msiwe mnazileta hapa,
 
Back
Top Bottom