Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.
Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?
Girlfriend:ni rafiki wa kike,Boyfriend:ni rafiki wa kiume.Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.
Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?
Je naweza kuwa na girlfriend mke wa mtu?
Je naweza kuwa na girlfriend mke wa mtu?
Tusidanganyane......kwangu mie na kwa wengine najua gf na bf kusaidiana hada kingono.......kama ngono hamna uhusiano hamna.......kwangu mie ngono kwanza mengine baadae...ndio maana enzi zangu gf siwezi kukaa nae muda mwingi yeye kwake au kwao na mie kwangu......tukikutana first ngono mengine later
Mbu unasemaje?
Unaweza as long as mmewe hajui....vinginevyo iishie JF tu.Tunaweza ongea mengine hapa.
Mkuu enzi za La muje de mevida zimeisha kuzuga nazuga sana ndio maana nawaitaga honey,sweet......kuanzia hapo nakuwa kauzu tu.....unajua mkuu hawa ukiwapeleka za Kiisidingo wanakudharau..... inabidi unawapeleka za ki Criss Brown wanakupenda kweli kweliHahahaha ndo maana unapigwa chini kila siku dogo!! inabidi unazuga kwanza baadaye ndo mikasi hahahaha
Mkuu enzi za La muje de mevida zimeisha kuzuga nazuga sana ndio maana nawaitaga honey,sweet......kuanzia hapo nakuwa kauzu tu.....unajua mkuu hawa ukiwapeleka za Kiisidingo wanakudharau..... inabidi unawapeleka za ki Criss Brown wanakupenda kweli kweli
Type zile za R kuna jinsi ya kuzipiga na kuna fimbo yao spesheli....wenyewe wanatulia.......Yo Yo huwa naishia kucheka tu na comments zako!! Chriss balaa kumpa mikono demu mzuri vile mhhhhh.....
Girlfriend:ni rafiki wa kike,Boyfriend:ni rafiki wa kiume.
Lengo lao ni kusaidiana katika shida na raha;hata hivyo kwa mfano combination ya girlfriend & boyfriend wakipenda kwa dhati hatima yake ni ndoa hapa tunawapata(Mr & Mrs).
Exaud
...................
Kama sijaolewa/kuchumbiwa, mpenzi wangu ndo boyfriend wangu nikimaanisha a favored male companion. .........................