Girlfriend na Boyfriend

Girlfriend na Boyfriend

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2008
Posts
1,518
Reaction score
24
Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.

Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?
 
Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.

Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?

...mzee samahani lakini, hivi unatokea Mars nini? ...kwa kifupi ni kuwa hao wa2(Girlfriend & Boyfriend) kazi yao kubwa ni michezo ya Adam na Hawa hakuna explanation nyingine.
 
Ni wapenzi.

Umuhimu wao ni kuridhishana kimapenzi na mihemko motomoto, vingine ni vya ziada!
 
Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.

Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?
Girlfriend:ni rafiki wa kike,Boyfriend:ni rafiki wa kiume.
Lengo lao ni kusaidiana katika shida na raha;hata hivyo kwa mfano combination ya girlfriend & boyfriend wakipenda kwa dhati hatima yake ni ndoa hapa tunawapata(Mr & Mrs).
 
Je naweza kuwa na girlfriend mke wa mtu?

Maneno hayo yanategemeana na mazingira, sehemu yanapotumika. Yaani ukisema huyu ni girlfriend wangu ukiwa chunya maana yake inaweza ikawa tofauti na ukitamka vivyo hivyo uwapo, say, Helsinki. The context matters. Kwahiyo angalia maana ya girlfriend with respect to the area.
 
Tusidanganyane......kwangu mie na kwa wengine najua gf na bf kusaidiana hada kingono.......kama ngono hamna uhusiano hamna.......kwangu mie ngono kwanza mengine baadae...ndio maana enzi zangu gf siwezi kukaa nae muda mwingi yeye kwake au kwao na mie kwangu......tukikutana first ngono mengine later
Mbu unasemaje?
 
Hahahaha ndo maana unapigwa chini kila siku dogo!! inabidi unazuga kwanza baadaye ndo mikasi hahahaha

Mkuu enzi za La muje de mevida zimeisha kuzuga nazuga sana ndio maana nawaitaga honey,sweet......kuanzia hapo nakuwa kauzu tu.....unajua mkuu hawa ukiwapeleka za Kiisidingo wanakudharau..... inabidi unawapeleka za ki Criss Brown wanakupenda kweli kweli
 
Yo Yo huwa naishia kucheka tu na comments zako!! Chriss balaa kumpa mikono demu mzuri vile mhhhhh.....
 
Yo Yo huwa naishia kucheka tu na comments zako!! Chriss balaa kumpa mikono demu mzuri vile mhhhhh.....
Type zile za R kuna jinsi ya kuzipiga na kuna fimbo yao spesheli....wenyewe wanatulia.......
 
u dont have to go far to that extent, of ngonoism, friends can also be boy to boy or girl to girl and they still meet their basic objectives which are more important than ngonoism.
 
Girlfriend:ni rafiki wa kike,Boyfriend:ni rafiki wa kiume.
Lengo lao ni kusaidiana katika shida na raha;hata hivyo kwa mfano combination ya girlfriend & boyfriend wakipenda kwa dhati hatima yake ni ndoa hapa tunawapata(Mr & Mrs).

KIUYA,
Mawazo yako ni tofauti na ya MHACHE na BELINDA, wao wanasisitiza kwamba uhusiano huu ni wa kimapenzi zaidi.
Ukweli uko wapi?
 
yeah inategemeanna na muktadha na jamii uliyopo..kwa wazungu hiyo inamaanisha almost mume na mke...wanachokwepa hapo ni makaratasi tu ya ndoa, hata hivyo baadhi ya nchi zinautambua rasmi uhusiano wa ki hivi wenyewe wanasema 'tunaishi kama mapatner'...utakuta mtu anakutambulisha kuwa 'huyu ni GF wangu' lakini ukiangalia ni watu wa 40s.

Ki TZ hiyo itakuwa na maana nyingine na nadhani kwa vijana zaidi katika hatua ya kabla ya uchumba....na ile kuitengenezea 'legitimacy' kwenye jamii na kupunnguza competition
 
Exaud
Kwa wengine tumezoea kutambulisha wapenzi kutumia boyfriend/girlfriend.
Mimi mwanamke,marafiki zangu yaani wanawake ni friends na wakaribu sana ni best friends.
Kama sijaolewa/kuchumbiwa, mpenzi wangu ndo boyfriend wangu nikimaanisha a favored male companion. Ila marafiki zangu ya jinsia ya kiume ni marafiki tu,siwezi sema ni boyfriends zangu. Mana nikichumbiwa nakuwa na mchumba pia nikiolewa nakuwa na mume.
Hii pia inachangia na mazoea ya watu juu ya matumizi ya boyfriend/girlfriend kuwa ni mpenzi wako.

Je wewe unawaitaje kwa kitasha marafiki zako wa kike ambao huna uhusiano nao kimapenzi? Incase unatambulisha kwa mtu!
 
Last edited:
Exaud
...................
Kama sijaolewa/kuchumbiwa, mpenzi wangu ndo boyfriend wangu nikimaanisha a favored male companion. .........................

BELINDA,
Kidogo nimepata wazo tofauti kwako.Lakini maelezo yako umemtaja MPENZI wako ukimtofautisha na wanaume wengine kwamba ndiye boyfriend.
Sasa ni saidie,
Kazi ya huyo boyfriend kwako ni nini ukimtofautisha na marafiki zako wengine wa kiume?
 
Back
Top Bottom