Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

Girlfriend polisi, Nasali na kufunga kupata mtumishi wa umma kada ya upolisi/mwanausalama

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wanajukwaa.

Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.

Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa napenda watumishi manesi na walimu.

Ila sasahv baada ya kuwajua vema na kuwachunguza pasi na shaka nimependa sana Tabia njema za baadhi ya hawa wanausalama wetu. Ni watu wako very disciplined haswa ukipata wasukuma au watu wa mbeya na Iringa hapo.

Kwa kweli, Mwaka huu nikimpata wa kufanana na mimi tukaelewana, Nakacha ukabwela.

Mbarikiwe sana wadada wa usalama wa nchi hii, Mapolisi, wanajeshi, uhamiaji, na kada zote za usalama.

Nawasilisha.
 
Nilisikiaga hili na ndio huwa linatnitia shaka, hivi ni kweli au ? Kama ni kweli sababu kubwa huwa ni nini ?
Kazi yoyote ambayo mke anakuwa na shift za usiku ni upuuzi.. yaani ulale ndani alone eti mkeo yupo lindo rubbish ,au mkeo yupo kuzunguka tu mikoani huko akisoma magazeti ...acha wafu wawazike wafu wenzao
 
Back
Top Bottom