Mickbrown
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 409
- 496
Mbona umeandika kama mtu yaliye mkuta mkuu 🤣🤣Kuna kada acha waoane wao kwa wao ila kuna kada za wote kama walimu.
Hao wanausalama, kada ya afya (manesi, madaktari) hao waache waoane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umeandika kama mtu yaliye mkuta mkuu 🤣🤣Kuna kada acha waoane wao kwa wao ila kuna kada za wote kama walimu.
Hao wanausalama, kada ya afya (manesi, madaktari) hao waache waoane.
Amna mkuu ila ndio ukweli, nature ya kazi zao kiukweli ina ukakasi sana.Mbona umeandika kama mtu yaliye mkuta mkuu 🤣🤣
Afande fetty wa mikoroshini wasi wasi wangu ni pale atakapo kukuta umevurugwa sijui ataweza kuku handle😂😂
Hiyo sio sheria, ni mentality yenu nyie raia tuLakini si nasikia askari huoana wenyewe kwa wenyewe means raia hatakiwi kumuoa Askari
Halafu mkuu age yote hiyo bado hujaowq tyuu?
Sio kweli hawatishiki na mandinga wale...maaana wao wenywe wana gari zaohamna mademu cheap kama maafsa usalama barabarana, ukiwa na ndinga unawang'oa fasta tu
Siku hizi watu wanataka kuoa sehemu ambako hamna shida nyingi...Tafta mwalimu ambae Hana ajira maan soko lao Sasa ni dogo Sanaa. Wapo wengi tu wametemwa huko kwenye usaili na ndoto zao zote zimezimwa.
#Waokoe.
Hata jeshi linahimiza watumishi wake waoane wao kwa wao,usalama wa taifandio msisitizo zaidi kuoana nyie kwa nyie.Nilisikiaga hili na ndio huwa linatnitia shaka, hivi ni kweli au ? Kama ni kweli sababu kubwa huwa ni nini ?
onana na RPC, na makamanda wa idara zingine za ulinzi,wasilisha proposal yako utafanikiwaSalaam wanajukwaa.
Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.
Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa napenda watumishi manesi na walimu.
Ila sasahv baada ya kuwajua vema na kuwachunguza pasi na shaka nimependa sana Tabia njema za baadhi ya hawa wanausalama wetu. Ni watu wako very disciplined haswa ukipata wasukuma au watu wa mbeya na Iringa hapo.
Kwa kweli, Mwaka huu nikimpata wa kufanana na mimi tukaelewana, Nakacha ukabwela.
Mbarikiwe sana wadada wa usalama wa nchi hii, Mapolisi, wanajeshi, uhamiaji, na kada zote za usalama.
Nawasilisha.
Ni kweli , mtu anaweza kwenda patrol usiku akarudi asubuhi na mchana akaitwa kazini.Nilisikiaga hili na ndio huwa linatnitia shaka, hivi ni kweli au ? Kama ni kweli sababu kubwa huwa ni nini ?
Kwanini ni kuwa hatuwezi kulala Doria na tuko na mtoto wa kike lazima anogeshe Doria .Salaam wanajukwaa.
Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.
Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa nawaogopa sana wadada wa usalama, whether mwajajeshi au polisi au wale wa Eagle 🦅 House, nilikuwa napenda watumishi manesi na walimu.
Ila sasahv baada ya kuwajua vema na kuwachunguza pasi na shaka nimependa sana Tabia njema za baadhi ya hawa wanausalama wetu. Ni watu wako very disciplined haswa ukipata wasukuma au watu wa mbeya na Iringa hapo.
Kwa kweli, Mwaka huu nikimpata wa kufanana na mimi tukaelewana, Nakacha ukabwela.
Mbarikiwe sana wadada wa usalama wa nchi hii, Mapolisi, wanajeshi, uhamiaji, na kada zote za usalama.
Nawasilisha.
Kila la kheri mkuuSalaam wanajukwaa.