Girlfriend wako ana tatizo hili?

Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?

Tumia Fluid moja inaitwa KY-JEL, inapatikana kwenye Pharmacy
 
Ahaaa this is funny mapenzi sio karaha zungumzeni kwanza muulize angle zake ni zipi kama umeshindwa kuzifahamu tumia nusu saa kumlegeza then she ll enjoy otherwise atapata wataalamu kitakachofuata kibutiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…