kipusy
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 639
- 323
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
Tumia Fluid moja inaitwa KY-JEL, inapatikana kwenye Pharmacy