Girlfriend wangu anatoa sana namba yake ya simu kwa wanaume wengi

M2 badala usome au ufanye kilicho kupeleka chuo, wee unakazana na mapenzi hadi wivu juu.
Mnawezaje? Mbna mie nilishindwa kabisa kuchanganya hivi vitu kwa wakati m1.
 
Hela ya matumizi unayotumiwa na wazazi ndio unaonga?. Pathetic
Kama anatoa sana namba, na wewe omba sana namba.
Alafu amekuona wewe ni lofa na unampenda sana, ilitakiwa akishika simu yako aone na wewe una flatter kuliko yeye, acha ufala
 
Wewe ukiombwa namba na wanawake utawanyima au wakikuchatisha hutokuwa unawajibu kisa una huyo mpenzi wako??

Binadamu tunapenda kuzingatiwa sana hii hupelekea mabinti wengi kupenda kugawa namba maana idadi ya status viewers ikiwa kubwa wao hujisikia faraja sana, pia zile comments kama vile Wow! Mrembo, cute sijui umependeza na braa braa nyingine wao wanapenda sana ...

Manzi yako ana 20, mzee wangu hapo bado una rangi nyingi hujaziona, punguza kujipa kipaumbele sana na kumuona kama ni mkeo...

Nawatakia kila lakheri na shem letu
 
Hela ya matumizi unayotumiwa na wazazi ndio unaonga?. Pathetic
Kama anatoa sana namba, na wewe omba sana namba.
Alafu amekuona wewe ni lofa na unampenda sana, ilitakiwa akishika simu yako aone na wewe una flatter kuliko yeye, acha ufala
Jamaa ameamua kuwa Mr Nice guy kwa mpenzi wake
 
Na wewe toa namba yako kwa wanawake wengi, bilashaka italeta ahueni kwako.

Hivi ushawahi mpa house girl namba yako? πŸ€—
 
Miaka 20 huyo hayupo kwenye mapenzi kwani bado anajitafuta. Usikute alishakuweka wewe kwenye kundi la wanaume wa kujitizamia huku kiwa anatafuta mtu wake sahihi. Huyo angekuwa serious na wewe asigefanya hayo ayafanyayo.
 
Soma dogo.
Huyo dem wako mwijaku atamfaki.
 
M2 badala usome au ufanye kilicho kupeleka chuo, wee unakazana na mapenzi hadi wivu juu.
Mnawezaje? Mbna mie nilishindwa kabisa kuchanganya hivi vitu kwa wakati m1.
Wewe memory card yako ina GB ndogo huwezi kuchanganya mambo ya projectile motion sijui concrete structure na babe I love you
M2 badala usome au ufanye kilicho kupeleka chuo, wee unakazana na mapenzi hadi wivu juu.
Mnawezaje? Mbna mie nilishindwa kabisa kuchanganya hivi vitu kwa wakati m1.
 
Usiwe naye srious kwenye mahusiano, anza kuwa na ukaribu na waschana wengi utamwona ameshtuka, akijidai kukuacha chukua rrafiki yake. Mm kuna dem alikuwaga na hizo, tukaachana, nikamla mdogo wake yy ndo akawa mchepuko mdogo mtu main chick, timbili lake likawa kubwa mpaka wazazi wakaingilia kati. Tena nlikuwa namsomesha chuo cha ushirika coz familia yao choka. Alitia nidham mbona
 
Soma kwanza mapenzi baadae! Hata hvy kwa umri wake hachukulii kama ana mpenzi! Anajifurahisha tu
 
Wewe memory card yako ina GB ndogo huwezi kuchanganya mambo ya projectile motion sijui concrete structure na babe I love you
Kwa kweli mie ni 2GB, nilishindwa kabisa kuchanganya mambo, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kikubwa we si unapewa PAPA wemba mdogo wetu, shida nini?! Chovya, kojoa hivi, mengine wtajua mwenyewe na maisha yake.
 
Kwenye 20S msichana ana react tu na Mapenzi kwa umri huo wengi hawapo siliac jitahid 26 above kidogo wametulia
Kuna wadada wenye miaka 29, wanataka kuolewa, ila ukikaa nao karibu unaona kabisa hawa bado hawapo serious kwenye mapenzi theohphilly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…