Girlfriend wangu anatoa sana namba yake ya simu kwa wanaume wengi

Achana naye focus na masomo, jifunze skills mbalimbali za maisha ukipata muda nje ya masomo, jua Kuna maisha baada ya chuo. Achana naye huyo, believe me unaishi kwenye ndoto.
 
Mleta mada Fanya hv tafuta laini ya simu nyingine, yenye usajili Mwingine Anza kumchatisha ukimwonyesha una Nia ya dhati ya kimapenzi, ila usimwambie upo chuoni hapo, mengine utajiongeza mwenyewe nafkiri Kwa kufanya hivyo utagundua upo upande Gani, na kingine ambacho usijisahaulishe HUJAOWA Mzee, na hiyo chombo ipo sokoni! Fanya hivyo utagundua wewe upo upande Gani, anzia hapo lete mrejesho!
 
Pole mkuu, una muda gani kwenye huo urafiki wenu, pengine haupo serious Kwa hiyo anaona asibweteke na wewe ukambwaga muda wowote, my take muulize kama Yuko tayari kuolewa mambo yasiwe kama Yuko tayari weka ndani ukiona anaendelea na Hiyo tabia basi hesabu kuwa una mke mnayesaidiana majukumu mkuu.
 
Dogo mapenzi huyawezi ongeza jitihada kwenye masomo.

Huyo demu huna uwezo wa kummiliki,wewe kula futa mdomo ila kaa kimasta asije akakubambikia mimba.

Kwa usalama wako mwambie akaweke njia ya uzazi wa mpango.Huyo demu wa masela bafo hajakukubali.
 
Asitoe namba kwani umemuoa, hela huna unaleta wivu. Pumbavu
 
Nashukuru 🙏
 
Dogo mapenzi huyawezi ongeza jitihada kwenye masomo.

Huyo demu huna uwezo wa kummiliki,wewe kula futa mdomo ila kaa kimasta asije akakubambikia mimba.

Kwa usalama wako mwambie akaweke njia ya uzazi wa mpango.Huyo demu wa masela bafo hajakukubali.
Sawa
 
M
Mwaka sasa toka tumeanzisha mahusiano yetu..
 
Wewe uliipataje namba yake
 
Huyo gelofrendi wako ana umri gani?
 
Huyo gelofrendi wako ana umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…